naweza kupata course contents please ya masomo ya tally na excell email yangu ni gwamakamwakyambiki3@gmail.comKampuni ya "The Computer Skills" iliyobobea kwenye ufundishaji na ushauri wa kitaalum kwenye nyanja za ICT, itaendesha mafunzo zifuatazo;
1. Advance Excel for Professional
Muda: wiki moja, 12/12/2016 -16/12/2016
Saa: 18:00 - 20:00
Fee: laki tatu na nusu (Tzs350,000/=)
location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Utapewa e_manual, 8GB Flash Disk,Note book & 3 months of concultant for free
Walengwa:Accountant,Auditors,HR,marketing,program managers and other stake holders
2. Basic & Advanced Tally ERP 9
Muda: wiki mbili, 05/12 -16/12/2016
Saa: 18:00 - 20:30
Fee: laki tatu na nusu( Tzs 350,000)
location: Makumbusho Business Complex, 2nd floor
Support: Colored manual, 8 GB flash,Note book and
refreshment
Walengwa: watumiaji wote wa TALLY
NOTE: kupata kozi kontent wasiliana nasi.
Usajili umefunguliwa tiari;
wasiliana nasi au fika ofisini kwetu;
Simu: 0717 718 519 / 0762 192 532
email: training@comskills.co.tz
Web: www.comskills.co.tz
Karibuni sana.
Asante ndugu na karibu sana.
Asante sana ndugu "buffaro89", tumekutumia tafadhali ingia kwenye barua pepe yako na utaona. Kwa maelezo zaidi naomba tuwasiliane.naweza kupata course contents please ya masomo ya tally na excell email yangu ni gwamakamwakyambiki3@gmail.com
Mie n mwilimu ninashida naitaj kanuni ya kupanga matokeo kwa division yan div I-O
asante sana ndugu "castongo" ni maelezo mazuri na murua sana. Na Vlookup ni nzuri sana na nyepesi kwa tendo hilo...pia changamoto yaweza tokea kama izo division zitakuwa na criteria..eg. Endapo mtu akipata div 1 then akawa na F ya hesabu huyo ahesabike kuwa kapata div III sababu ya penati ya hesabu na mengineyo mengineyo pia. lkn kwa Vlookup ni nyepesi.Jaribu kucheki hii. Click hapa
Asante ndugu "Promenthous", tumesajiliwa na tunatambulika na VETA so chuo chetu kinatoa vyeti vinavyotambulika ndani na nje tupo kwenye hatua za mwisho kusajiliwa na Microsoft kama training center pia.Mnatoa na vyeti vinavyotambilika?
Asante ndugu "Promenthous", tumesajiliwa na tunatambulika na VETA so chuo chetu kinatoa vyeti vinavyotambulika ndani na nje tupo kwenye hatua za mwisho kusajiliwa na Microsoft kama training center pia.Mnatoa na vyeti vinavyotambilika?
pole sana ndugu. Lakini unaweza mpata vizuri kwa kutumia mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na kwingineko. Muhim ingia pale kwenye sehemu ya search alafu andika jina lake utampata au utapata wanao mjua.Wanajamii forum wenzangu,,naomba msaada wa kumpata MTU anayeitwa Menard mwaisela.Kwa Mara ya mwisho tulionana mwaka 1998.Ni MTU muhimu sn kwenye maisha yangu lkn sina mawasiliano naye na hatujawahi kuonana tangu wakati huo.Tafadharini mwenye taarifa zake anisaidie
Naomba course content ya excel. Je mnafundisha hata introduction ya photoshop?Pia tunatoa kozi nyingine za asubuhi sana na jion sana zipo kwenye punguzo kubwa..wahi nafasi bado ipo
1. Basic Computer Knowledge
Muda :06:00 - 07:00 (asubuhi) - 150,000/=
:19:00 - 20:00 (jion) - 150,000/=
Utajifunza module zote tano na kupewa kitabu na Flash disk drive 8 GB free.
(i) Introduction to Computer & Windows 7
(ii) Introduction to Microsoft word 2013
(iii) Introduction to Microsoft Excel 2013
(iv) Introduction to Microsoft Power Point 2013
(v) Internet & E-mail
duration 5 weeks
karibuni sana