Biblia inasema ni heri kuoa kuliko kuwaka tamaa.hivyo oa tu.pili watu tuko tofauti yawezekana unachemka haraka pia unapoa haraka.jifunze kuuweza mwili katika utakatifu.ni vyema ukajua pia kuwa ukimtazama mwanamke kwa kumtamani tayari umezini nae na hivyo hakuna tofauti na kuvunja amri hiyo...
Cheki kama mama ame conceive mapema/intahekana,saa nyingine kuna repel kati ya dogo na aliyeko tumboni.yaani dogo ka zila.then shughulika na lishe.its normal atakua tu.
Asante ndg donatila.
Napenda kuongezea kuwa kusamehe ni jambo gumu sana japo ni la lazima..
Ki biblia kutokusamehe ni hasara kwa aliyekosewa japo mkosewa anaona ni adhabu kwa mkosaji.
Mfano unaweza kukataa kumsamehe mtu ambaye amesha jutia kosa au katubu tayari,,,yeye yuko huru na anadunda...
Babu yangu akiwa amelewa gwagwa/pombe ya ndizi alipenda kujigamba kijiji kizima ati yeye ndo kasomesha wanae.wananzengo /wanakijiji wakakasirika mmoja akamwotea mvua imenyesha akamkata panga.japo alimjeruhi tu hakufa.japo sasa amelala.alikuwa mwenyewe mpaka la 12 enzi hizo.
Salaam sana,
Naamini katika jamii kubwa hivi lazima kuna mchanganyiko mkubwa pia.
Katika hao wamo wacha Mungu wengi.
Niombe pia towekeze nguvu katika kuhimizana kumcha Mungu na kutazama kwa jicho la ziada katika yale ambayo JEHOVAH AMETUTENDEA.
Nina uwezo wa ki uchambuzi pia lakini mimi...
Kabanga secondary ngara' mkuu wa mwaka ule mnaokumbuka alikuwa ameokoka ';na kambi ya jeshi iko hapo hapo :akatuma mwanafunzi awaambie wajeda wasipigie wanafunzi kelele kwa mazoezi ya vifaru.asubuhi yake kakuta wamefanyia mazoezi ya vifaru parade ya shule! Si unajua corner moja ya kifaru ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.