Recent content by mozila firefox

  1. mozila firefox

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

    Duuuh mkuu umemaliza
  2. mozila firefox

    JamiiForums Tanzania Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Mim dini naionaga ni siasa ya kale, life style ya jamii za kipindi hicho
  3. mozila firefox

    JamiiForums Tanzania Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Umetisha mkuu
  4. mozila firefox

    JamiiForums Tanzania Salum Rashid Hamduni kutoka ACP mpaka CP. Je, ndiye IGP ajaye baada ya Sirro kustaafu?

    Huyu Hamdun ashawai gombana na jambazi Sabaya, wana JF kama mnakumbuka Sabaya ashawai kamata wafanyabiasha wa kilimanjaro akasema wanaribu miundombinu ya reli, ila Hamdun aliwasafisha wale wafanyabiashara kwamba hawahusiki Huyu Hamdun inaelekea ni mtendaji mzuri sana, Mungu amuongoze
  5. mozila firefox

    JamiiForums Tanzania Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Ingekua jiwe je? Sipat picha ya kisasi chake alivyokua na chuki yule baba duuh
  6. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Match postponed Liverpool mna bahati sana, leo tungewapeleka europer league rasmi
  7. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kuna taharifa polisi wamefanikiwa kuwatoa nj'e ya uwanja mashabiki na hali wameituliza, kwaiyo game ipo pale pale
  8. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Uko Lowry hotel na Old Traford inasemakana mashabiki wengi wanandamana #GlazersOUT Pia kuna breaking news baadhi ya mashabiki wameingia ndani ya uwanja wa Old Traford kuonyesha msimamo wa #GlazersOUT Hope polisi wanatafanikiwa kutuliza hali utulivu urejee Ila all in all mashabiki wa UTD ni...
  9. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Match day I hope OGS ataanza na kile kikosi kilichomfunga Roma 6 - 2 ili timu iwe na balance nzuri, langoni akikaa yeyote either Degea au Henderson poa tu Pogba + Bruno + Cavan wataleta mangamizi ktk lango la Liverpool Natarajia Greenword ataingia 2nd half kutapelekea madhara zaidi kwa vijana...
  10. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu kwann umeamua kutumia jina la huyo kocha wa wapinzani wetu wa jadi?
  11. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool hata next season mtayumba, sioni mkibadilika kutoka ktk hali hii mliyonayo sasa Front 3 yenu inakosa magoli sana, ili liverpool izaliwe mpya inaitaji ku'spend si chini ya pound laki mbili, wale wamarekani wachumi mno, hawatotoa mzigo wa kutosha
  12. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Alafu kweli, wapo kimya
  13. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta mitano tena
  14. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Klopp ana tabia ya kutengeneza timu bora anachukua ubingwa vipindi kadhaa then timu inapotea hata top4 hashiriki, lastly anafukuzwa Waulize Dortmund
  15. mozila firefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Created by the poor, stolen by the rich
Back
Top Bottom