Recent content by Moyo wa chuma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Aiseeee hiyo ndinga nilipanda kama miezi Mitatu nyuma toka Dar - Mbeya kufika Iringa kabla ya ilula ndinga ikafa ebwana eeeeh! Tulikesha nayo tangia hiyo siku nikaacha kabisaaaa kutumia hiyo kampuni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maisha bila mganga wa kienyeji hayaendi

    Usiombe ukutwe na mabalaaa aiseee waganga watu muhimu sana mazeee, sema watu wengi tulikuwa tunafikiri kama mimi mganga basi lazima awe babu fulani hivi au kabibi fulani na makorokoro kibao kumbe sio aiseee! Siku hizi waganga unakuta jamaaa tu au mdada tu yupo fresh kabisa msafi na anakutibu na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia maisha kama wale wanaotoka gym, mkononi anachupa ya maji ya kilimanjaro hawa wanaonaga wameshawin maisha kabisaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama mpenzi wako haweki last seen kwenye WhatsApp anamaanisha nini ?

    Mambo mengine utajiua bure kwa preshaa vitu vingine vidogo vidogo temana navyo tu vitakusumbua sanaa! Kuna manzi nilikuwa napiga siku nilichukua Simu yake nikaongia Fb Messenger vitu nilivyokutana navyo hatari ,uzuri alikuwa wa kupita tu nikajifunza hawa viumbe ukiwafuatilia sana utakufa mapema
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amenunua viwanja viwili bila kunishirikisha

    Sio rahisi hivyo mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Diana, tutaonana Mungu akipenda...

    Poleni sanaa wafiwa wote ...Pumzika kwa amani Diana so sad
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fulana ya Rose Mboma imenikera - kampeni kabla ya 2020!

    Sasa wewe shida yako ni nini mtu akivaa tshert nitamchagua MEMBE ? Wewe unawajua wakina Membe wote? Labda huyo membe ndo bwana wake?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mbariki Salim Ahmed Salim. Yadaiwa anaumwa, yupo kwenye matibabu

    Mwenyezi Mungu ampee uponyaji wa haraka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Caf Champions league-Semi final, LIVE...

    Hivi ZBC ilikuwa kuonesha mechi za Simba tu? Yani channel za home hovyo tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni kazi za gari lenye machuma mengi kwenye msafara wa Rais

    Wekeni na kapicha basi
  11. M

    JamiiForums Tanzania NIMEITOA SEHEMU

    Updates! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania NIMEITOA SEHEMU

    Viongozi wa simba wajaribu kufuatilia hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel

    Oooh! Na wenyewe wamechapisha kabisaaa na kwenye blog kubwa za ujerumani imekuwa ni story ambayo inatrend sanaa hata kwenye televisheni ya Taifa ya ujerumani ilikuwa ni habari ya kwanza na wajerumani wamefurahi sanaa tena Sanaa na wanashukuru sanaa Tanzania kwa ukarimu wetu maana wanajua Rais...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 'Hatoki Mtu'

    Simba kumbukeni Okwi,Juko, Mkude, Nyoni hawapo sasa huo ushindi bila hawa watu msahau aiseee......Okwi bado anamgomo anataka pesaaa zake Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwaherini wanaJF, nimegundulika nina ugonjwa wa Hepatitis B. Niliowakosea naomba mnisamehe

    Polee Sanaa mkuu Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema azidi kukumbuka mkuu Mungu ni mwema Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom