Recent content by Mowo MD

  1. M

    JamiiForums Tanzania Umasikini umeongezeka maradufu ndani ya mwaka mmoja tu wa utawala wa Rais Magufuli

    Hapa kazi tu...bila pesa ndo alivyomaanisha!!![emoji1] [emoji63]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Gwajima limenipa picha niliyoitarajia

    A cha kabisa tunapoelekea siko!!!! Watu wanalia na majanga hayaoni yupo kmy tu kaganda na shilawadu!!!!!!!mwafaaaaa!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Wapo wanaojifanya wakimbizi wakifika kambini wanaandikishwa mle wapatapo wafadhili wanapelekwa nje na huko baada ya mda wanarudi kutusalimia :::::mpaka unatamani na wewe ungekua mkimbizi!!!! Jaribu kujilipua labda utafanikiwa!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wengi hunukia harufu moja je hio harufu ni mafuta au perfume gani?

    Me huwa nahisi wananukia sabuni za unga kama omo'foma' hivyo nafua nguo zangu kwa sabuni za unga ninukie kama mzungu!!!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [Naweza]#800000[/namimiau]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

    Ya kaini mwachieni kaini na ya abigaili mwachieni Abigail!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnawezaje kuwa kwenye uhusiano na mtu usiye na hisia naye?

    Anapunguza msongo wa mawazo akirudi aliyeziteka hisia zake ndio utakapojua pa kuzielekeza zako!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Swali la weekend kwa wanafamilia...

    Sipo nje ya mada ila kinachopelekea Kuwa laki 2 ni namna vichwa vya familia vinavyojigamba katika nyumba na kuona bi hana la kuchangia kwanini nisjishushe ''''''sihitaji mabavu miee!!! Akuuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya minara ya simu

    Mkuu alivyoeleza pia mionzi hiyo huathiri wanawake wajawazito waliopo mazngira hayo :mimba kutoka::
  10. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Ally Hapi, ni kielelezo cha Shule kuendeshwa Kisiasa, aibu kwa Taifa

    Duu! Hiyo shule lambda iwe ya chekechea aisee.Kama ni ya msingi au sekondari ni aibu kubwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanawatakia sikukuu njema msimu huu wa xmas na mwaka mpya!

    Mkubwa na mwanae
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kutuma vyeti limeondolewa?

    Home page = ukurasa wa nyumbani[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
Back
Top Bottom