Ni zaidi ya shetani huyu alafu badae utaskia linataka kuchumbia msichana mwingine na kutaka kuoa... kwa tabia hii wasichana inawapasa kuchunguza sana kabla ya kutaka kuolewa..
Na wendawazimu wa namna hiii...
kwa hali hii ya magu..nitaanza kupika nini akati naambiwa nijitahidi kubana matumizi...hayo magimbi, mayai, mkate, supu,chai, chapati kwa wakati mmoja siatanizaba vibao naharibu chakula.....yote hayo yanaendana na pesaa! Tutaishia kukoroga supu ya dagaa nakwambia!
Duh Mimi boy wangu kashaanza kuniita mbinafsi et kisa simpi hela..na hajanioa..nabaki kujiuliza nini dhumuni la yeye kuwa na Mimi??? Ikumbukwe kwenye matatizo madogo madogo vizawadi tunasaidiana....hatuishi pamoja..ila anavyonisakama sasa nimpe hela najiuliza nikiingia huko itakuaje...
Inawezekana uyu kaka alioa mwanamke mwenye hela zaidi take akilenga hela ya mkewe ataitawala kama apendavyo....haiwezekani unasema una nyumba gari then tena mmepanga mnataka mhamie chumba kimoja mjijenge ..!!! Acha kumtishia maisha Fanya mpango wa kufanya mazuri yenye maendeleo uone kama mtakua...
Hata biblia imekataa kwa kishindo uasherati,uzinzi...vingine vyote tutavumiliana magonjwa,njaa,kufukuzwa kazi, lakini sio uasherati na uzinzi loh mkuu acha kubariki vilivyokwisha katazwa katika maandiko!!!
Mimi ni dada miaka 25 sasa...niweze kusimilia kidogo maisha niliyopitia nyuma...niliishi na wazazi wangu kukwaruzana ni sehemu ya maisha...naweza kusema kabisa malezi ya wazazi yanachangia sana kupotea kwa watoto au kufanikiwa...Mimi nawashukuru sana wazazi wangu hasa baba katika kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.