Njia ya kupata moyo wa mwanaume ni kupitia tumbo lake

kwa hali hii ya magu..nitaanza kupika nini akati naambiwa nijitahidi kubana matumizi...hayo magimbi, mayai, mkate, supu,chai, chapati kwa wakati mmoja siatanizaba vibao naharibu chakula.....yote hayo yanaendana na pesaa! Tutaishia kukoroga supu ya dagaa nakwambia!
 
Wala sinaga shida mie, be free tena mtu mwenyewe miss bobge ahahaha hiyo nyumba itakuwa na amani mno na tutakupendezesha mno beby
Hahahahhaa datz y I love you babyyyyyyyyyyy .....kwaiyo saiv Boss nimepata Decision makers wawiliiii ahhahahahahah ntanenepa mie.
 
Hela zenyewe wanatoa kwa mawazo na bajeti kali, aaah watajua wenyewe aisee
 
Hallelujah hatimaye umebadilika@Miss Natafuta,
..nakutakia kila la heri upate Mume bora na sio bora mume,.. Hallelujah
 
Tafuta na hela sasa wake wawili si mchezo ati
Wala usijaliiii babyyyy pesa nilianza kutunziwa nikiwaa tumbon nahadi saizi nahangaika km kawaida kuzitafutaaaa .

Nyinyi mkiwa tayar nambieni nianze kuwaogesha na huduma bora alafu mie mnipe tuu marahaaaa nizidi kuzisaka.
 
kwa hali hii ya magu..nitaanza kupika nini akati naambiwa nijitahidi kubana matumizi...hayo magimbi, mayai, mkate, supu,chai, chapati kwa wakati mmoja siatanizaba vibao naharibu chakula.....yote hayo yanaendana na pesaa! Tutaishia kukoroga supu ya dagaa nakwambia!
unaishi mkoa gani?
 
okay. kuna mengine mengi. ukimpata utajua uliupataje moyo wake. mojawapo wanaume wanapenda uwape mawazo mazuri waongezeje hela kuliko kuzitaka uzitumie. upooooo
 
fact mkuu, pia wakumbushe manjonjo hayo yamezani yanatakiwa kuboreshwa pia kitandani. si unajua vyakula vyote muhimu yaani cha mwili, nafsi, akili na roho hapo hachepuki mtu
 
1.Creativity hakuna watu tunaishi kwa mazoea mtu tangu amezaliwa anaona watu asubuhi ni chai, mkate, andazi, chapati, kitumbua nk

2.Fikra potofu kwamba chakula kizuri lazima uwe na vifaa au vyakula vya gharama
Kitu ambacho si kweli
Kuna watu wana majiko ya magharama makubwa na mafriji yamejaa mavyakula kibao lakini chakula kikifika mezani ni Zero
Nakumbuka 2007 nilikwenda znz nilikula Muhogo jinsi ulivyotayarishwa mpaka leo naukumbuka. Huwezi amini ule muhogo ulitolewa juu ya Dari ulikuwa umeanikwa kwa ajili ya Unga wa Muhogo lakini jinsi walivyoufanyia kazi na kuwa msosi kamili ilinistaajabisha

3.Katika kupika hakuna Shortcuts.waweza tumia shortcut kwa gharama kubwa ya Afya ya familia yako
Sasa hivi watu tunasumbuliwa saana na Lifestyle Diseases kama Kisukari, Kansa, BP na Obesity haya kwa kiasi kikubwa yanasababis hwa na shortcuts za akina mama kutumoa Processed Chemical Flavours
 
Back
Top Bottom