Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,269
- 25,309
Baadhi ya wanawake wamekuwa na tabia ya ubinafsi na hela zao yani ikiwa na maana 'changu changu na chako changu'
Tafsiri hii imefanya wanaume kuchoka kwani wao wamekuwa wakifanya majukumu mengi huku wake zao wakiwa wanajibana na pesa zao.
Wakati mwingine wanawake wamekuwa wakifanya makusudi kabisa kutokusaidiana na waume zao kwa kigezo kuwa mwanaume anahela basi hatoi senti yake.
Ajabu ni kuwa mke huyo anauwezo tu wa kuweza kusaidiana na mumewe.
Wanawake acheni hii tabia....mnachosha!