Recent content by motowarombo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Makundi haya ni zaidi ya mabadiliko katika Chama tawala

    Wanajamvi salaam, Hii taarifa ni kwa chama changu cha CCM, kuna haya makundi WAALIMU, MADAKTARI, WANAVYUO na WAFANYABIASHARA. Haya makundi katika miaka ya karibuni mmewapa wakati mgumu sana wao wenyewe na viongozi wao mmewatesa na kuwafunga na wengine wamepata vilema vya maishana, haya ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Imported Used bicycles aina zote,New & used Motorbike,Alloys rims n tires used auto parts from Japan

    Kuna Tapeli mmoja aisee amefirisika anaitwa Mushi Nguku mtu wa kwetu Rombo yuko huko Tokyo na yeye amekuja kuokota mapikipiki na baiskeli,atatuletea kwa bei poa tunamsubiri kwa hamu aisee
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Yuko mstuni mpaka Oct
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa mahakama ya Kisutu litizameni hili

    Acha mpigwe hizo picha nyie jamii ya chenge walau dunia ijue...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ingawa nina uraia wa Mzungu lakini siwezi kusahau Asili yangu

    Huyu KUVETA kwa maelezo yako ni beach boy ulikuwa unakimbiza mabegi ya wazungu, sasa umechumbiwa na kuchukuliwa na kibibi cha kizungu umeingia Uk unaona wenzio wote wajinga...mi na wajua wengi wenu mtaji mb.o.o..kichwani bang..e,acha mipasho
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Said Michael na Masoud Kipanya, Nani mkali kwenye Katuni za uchambuzi?

    Kipanya anatisha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Traffic Anapochukua Leseni Yako, Nini cha Kufanya?!

    Kesi ya Ngedere kaka...utapoteza muda wako
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bar ya Catalunya yafungwa na TRA muda huu

    Wash enzi tu hawa TRA, vituo vyote vya mafuta kupata risiti ya Tra ni vita, wanaangaika na wauza kongoro...p..mbAvu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa afariki dunia

    R.I.p chief mkwawa,poleni wafiwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ibada ina raha yake

    Amen...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Alex Massawe kakamatwa!

    Mpaka sissies toke madarakani ndiyo ataukumiwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa mauaji UK amejificha Tanzania

    Nchi haina Jeshi la polisi,hovyo kabisa... mauaji kila kona ya nchi na hakamatwi mtu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    Kila mtu atakuwa Rais mpaka 2015, ndoto kila kona sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotembea kwenda Ikulu wamevaa magunia

    Kumbe hii ilikuwepo, sikujua kabisa na naendelea kutafuta namna ya kuongia kwa mzee nipige nae hata kapicha ka ukumbusho. mambo mengine tustuane jamani, unatoa Mia unapiga naye picha
Back
Top Bottom