kichema
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 137
- 39
IBADA YA KUOMBA NA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUTUVUSHA SALAMA UCHAGUZI MKUU 2015
Wana JF.
Mungu ni mwema siku zote. Nina uhakika kila mmoja wetu amejionea mwenyewe kilichojili uchaguzi huu. Mpaka Viongozi wa dini fulani wanadiliki kunena "NATEKA KILIMANJARO, NATEKA ARUSHA, NATEKA BUKOBA, NATEKA MWANZA, NATEKA RUKWA,...NATEKA...Bruburu....u"
Ahaaa jamani Mungu ametuokoa kutoka mikono ya watekaji.
SASA BASI:
Naomba viongozi wa dini zote bila kujali itikadi zetu za kisiasa na kidini. Waitishe ibada mahalumu ya kuomba na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutenda na kuokoa taifa hili lisizame. Hama kweli tumesalimika kutoka kwenye mdomo wa Mamba. Tumeokoka kutoka kwenye kile KIPETE. Tunahitaji maombi na dua mahalumu. Mh. Sana Shehe Mkuu wa Dar es Salaam, Baba Askofu Kardinal Pengo, Mahaskofu wa madheebu yote mahali mlipo Mh. Askofu Malasusa, natoa wito njoo mliombee Taifa na tumshukuru Mungu kwa kutunusuru kwenye mdomo wa mamba Itisha ibada mahalum viwanja vya Jangwani au Uwanja wa Taifa nasi tutaitikia wito.Ingependeza kama ingafanyika kabla ya kuapishwa Mh. John Pombe Magufuri.
Tuite nasi tutaitika.
Naomba kuwasilisha.
Mungu ni mwema na anatulinda siku zote.
Amen