Recent content by motivation

  1. motivation

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Ni pamoja na hao wadada wawili hapo? 👭
  2. motivation

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kwenye Corona Mdhibiti Makonda, Ni jambo linahusu uhai

    upo wapi wewe hujasikia kuwa kafuta kauli yake?
  3. motivation

    JamiiForums Tanzania Kinyozi anahitajika Mbeya Mjini

    umempata? nahitaji kazi hiyo nimenyoa sana wanafunzi shule ya Ilasi primary.. (Vwawa) now nipo Mbarali
  4. motivation

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili jina naomba kujuzwa utaratibu wake

    😁😁😁
  5. motivation

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya kuzaliwa Yesu Masiah au ni Christmas?

    Yesu alisema tukumbuke kifo chake na si kuzaliwa 1wakorintho 11:25 Akafanya vivyo hivyo na kile kikombe pia, baada ya wao kula mlo wa jioni, akisema: “Kikombe hiki kinamaanisha agano jipya kwa msingi wa damu yangu. Endeleeni kufanya hivi, kila mara mnapokinywa, kwa kunikumbuka mimi
  6. motivation

    JamiiForums Tanzania Bunju B daladala laacha njia na kugonga nguzo ya umeme kisha kuvamia nguzo ya baraza ya nyumba

    Vivyo hivyo sidhani kama accident ni mpango wa Mungu!
  7. motivation

    JamiiForums Tanzania Tunapigana ili kushikishana adabu tu sio utake kuniua

    😝😝
  8. motivation

    JamiiForums Tanzania Thread Ya Vitu / Mambo uliyochelewa Kufahamu!

    Bado hujalijua! endelea kufanya utafiti.
  9. motivation

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya mambo haya basi haujaelimika

    Ndio ukweli humuweka mtu kuwa huru,,, lakini kuna wakati uwongo utahitajika ili mambo yaende sawa😱
  10. motivation

    JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la t-shirt la V la shusha mzigo tena

    😁😁
  11. motivation

    JamiiForums Tanzania Vitanda bora vya sofa kwa bei ndogo kuanzia laki mbili tu, hebu vicheki

    mkuu hii picha inatoka kwa video moja ipo YouTube kule, mie ni mfuatiliaji mzuri wa ufundi wa sofa,,,,napenda kazi hiyo ila sijapata nafasi, na aliyekuwa anatengeneza si mwafrika. Inamaana hiyo picha ni kweli upo katika hatua hiyo???? "ukweli humuweka mtu kuwa huru"
  12. motivation

    JamiiForums Tanzania Nauza mota ya mashine ya umeme pamoja na vinu vyake kwa bei poa sana

    ukanjanja umeuanzisha mwenyewe hivyo hatukuamini👆
Back
Top Bottom