motivation
Member
- Feb 17, 2019
- 90
- 50
Bado hujalijua! endelea kufanya utafiti.Tunda alilokula Adam hawa nilikua nikiuliza ni tunda gani bila kupata majibu but now ni mwaka wa sita tu tangu nilijue hili.