Tunapigana ili kushikishana adabu tu sio utake kuniua

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
cheka.jpg
 
Kijani vs Chadomo.
Kijani kakimbilia kukaba shingo ya Chadomo. Chadomo kaishiwa pumzi but kwa kudra ya M/Mungu kachomoka nduki kukwepa kipigo. Kijani akamtangazia Chadomo eti yameisha asikimbie but Chadomo haamini mpaka apatikane mlinzi au mwamuzi asiye na upendeleo.
 
Back
Top Bottom