Recent content by mosses stick

  1. mosses stick

    Mama mkwe nakupenda sana ila bora uende

    Pole Sana dada Yangu, hivi ndivyo walivyo mamamkwe wengi WA kiafrika na haijalishi kuwa amesoma au LA. Dawa yake ni kumueleza ukweli kuliko kukaa na maumivu moyoni.
  2. mosses stick

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Majaliwa jembe na ndio maana wabunge hawamtaki aisee.
  3. mosses stick

    Mafundi wa Tanzania mtabadilika Lini?

    Mafundi wengi wa kibongo shule hamna Sent from my iPad using JamiiForums
  4. mosses stick

    Maswali 20 kwa Mungu

    Akili za MUngu sio akili za mwanadam,mawazo ya MUngu sio mawazo ya mwanadam,uwezo wa MUngu sio uwezo wa mwanadamu. Hakika MUngu yupo. Sent from my iPad using JamiiForums
  5. mosses stick

    TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    Tv 1 acheni kukatisha katisha vipindi kwa kuweka matangazo Mara kwa mara Sent from my iPad using JamiiForums
  6. mosses stick

    Mo Dewji kaitelekeza timu yake African Lyon ataiweza Simba?

    Mo chukua simba bureeeeeeeeeeeee kabisa wala hatukuuuzii kwani hao wazee wa dar na wanachama wa simba ndio kikwazo cha maendeleo ya timu kwani wamekalia uchawi,siasa za mpira ,majungu,fitna na ubabaishaji wa kimazoea pamoja na maslahi binafsi. Tujiulize miaka 70 iliyopita toka simba ianzishwe...
  7. mosses stick

    Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Ishi milele PJM Sent from my iPad using JamiiForums
  8. mosses stick

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Asante dr kwa ushauri na dawa kuhusu tinnitus. Sent from my iPad using JamiiForums
  9. mosses stick

    Sema chochote ''Kinachosadikika''

    Inasadikika siku ya kwanza kabisa mtu mweupe(mzungu) alipokutana na mtu mweusi(mwafrika) ,wote wawili walitoka nduki kila mmoja na uelekeo wake. Sent from my iPad using JamiiForums
  10. mosses stick

    Tinnitus ndio Ugonjwa gani?

    Nishapoa Eliyah,Asante. Sent from my iPad using JamiiForums
  11. mosses stick

    Tinnitus ndio Ugonjwa gani?

    Asante mwanajamvi mwenzangu bwana mzizimkavu kwa kunifafanulia kidogo kuhusu tinnitus.Yani sauti niliyoisikia kwenye video yako,ndio sauti hiyohiyo ninayoisikia ndani ya sikio langu la kulia.Tutazungumza mengi kwa kupitia e-mail yako.Aksante sana Sent from my iPad using JamiiForums
  12. mosses stick

    Tinnitus ndio Ugonjwa gani?

    Je, unasabishwa na nini,unamadhara gani na tiba yake ninini?. Naomba wanajamvi mnisaidie. Asante Sent from my iPad using JamiiForums
  13. mosses stick

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mimi dr. Nimefurahi sana kupata nafasi ya kuuliza swali. NINA UGONJWA WA TINNITUS(Ear ringing/bunzing) Yani Nina mngurumo usiokwisha Kama Mlio wa friji katika sikio langu la kushoto , ambao nausikia kama unatokea kichwani ,kwa muda wa mwezi mmoja sasa. Naomba unipe maelezo kuwa unasababishwa na...
Back
Top Bottom