Recent content by moshijeff

  1. M

    JamiiForums Tanzania Namlilia Julius Mtatiro...

    Mtatiro anzia uolewe unaongea mipasho kama hadija kopa, we tulia ndani tu utunze ndoa yako mama, CUF mmebaki na kazi ya kupika na kupakua misosi kama mama wa hom, mlifurahi kuolewa bila kujua nyie ni watoto wa kiume mkafikiri itakuwa rahisi sio, sasa inakula kwenu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    hawa police niaje wamekuwa wa******ge kiivyo? sasa tunasema tutaandamana na hao alshabibi alshabab siku hiyo ndio tutakuwa sisi. Huyu KOVU ameanza kuchanganyikiwa nn? alshabab wanaonekana pindi yanapotangazwa maandamano tu? na kama wapo basi huyo kovu na police wote ni ma*****ma walikuwa wapi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Kifo cha nyani miti yote huteleza, akamuulize Masha yaliyomkuta,wananchi hawawezi kusikiliza sauti zisizo na mpangilio wa ala wala sauti kwani huumiza masikio they jus making noise pollution like Automobile Industry in Germay then wanataka tuwasikilize? kwa lipi? hiyo mipasho?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge CHADEMA wamedanganyika?

    Dilunga sio mwandishi mahiri bali ni kanjanja wa town tu, nilipe nisepe fasta
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka kuvunja muungano kwa kukosa ushawishi Zanzibar

    Wazanzibari ni wanafki kuliko shetani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    nyie mnaondamana huku huku jf ndio waoga wa kwanza twendeni barabarani muda wa kutumia vidole na keyboard kuandamana umekwisha pitwa na wakati
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Arusha katika picha

    peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez! Tunajivunia nguvu ya umma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

    VIVA LEMA Hakuna Gereza lolote wala silaha yoyote ile ilishawahi kuzuia uhuru duniani, nenda kumuulize Mandela, Kenyata na Ghadaf ukikutana nae atakuambia, hili polisi wanalofanya ni upuuzi mtupu coz mwisho wake ni kutolewa kwenye makalfati na mitaro ya maji machafu kwa ndosi za ukweli
  9. M

    JamiiForums Tanzania Clouds fm inaliangamiza taifa

    Clouds fm imejaa MAKANJANJA watupu nduguzangu wala msishangae wanayoyafanya leo hii
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mandela na Lema wafanya uamuzi unaofanana - kwenda mahabusu kwa hiari

    Saa ya ukombozi ni sasa, watz tusikate tamaa mapambano yanaendelea
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimetokea mahabusu kumuona Lema leo

    Freedom is coming tomorrow, Viva lema viva kamanda
  12. M

    JamiiForums Tanzania Comrade Julius Mtatiro

    mtatiro na asikie yale ambayo waonambali wanamsaidia kwa hili
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Hivi ccm wanadhani wanadola na tambo zaidi ya Ghadaf?wanahamu ya kutolewa kwenye mitaro na makalfati ya maji machafu kama Ghadaf????
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    ccm na dola yake itapotelea mbali (kwenye mtaro/kalfati) kama Ghadaf tu, subirini muone
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Hawa watawala wababe wanaotisha wenzao hawawezi kuua wala kutishia nguvu ya umma kama Ghadaf, lakini leo hii huyo ghadafi yuko wapi na majeshi yake yakiwamo yale ya sweet killers yaliyokuwa yakiua wapinzani????nasema ipo siku wataz tutawakimbiza mpaka kwenye makalfati na tutawachomoa huko kwa...
Back
Top Bottom