Recent content by Moses Cellestine

  1. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    Kweli kabisa mkuu, naelewa mtoto hana hatia na angekuwa kazaliwa ndani ya nyumba yangu wala nisingembagua kabisa. Ila huyo dada sijamuoa na isitoshe yeye yuko Dar na me naishi Moshi.
  2. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    Kweli kabisa mkuu, naelewa mtoto hana hatia na angekuwa kazaliwa ndani ya nyumba yangu wala nisingembagua kabisa. Ila huyo dada sijamuoa na isitoshe yeye yuko Dar na me naishi Moshi.
  3. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    This means a lot to me man wangu. We pia naona unaelewa ninavyojisikia. Ila umenisaidia sana apa. Thanks.
  4. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    Nashukuru sana kwa msaada huu Mkuu.
  5. Moses Cellestine

    Msaada kuhusu DNA.

    Habari za leo ndugu. Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.
  6. Moses Cellestine

    Wasichana mnavutiwa na nini hasa kwa wanaume?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana hao wanaume wa arsenal [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Moses Cellestine

    Natafuta rafiki wa kike, Tabora.

    Keshanaswa mtu apo [emoji16][emoji16][emoji16]
  8. Moses Cellestine

    Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Naomba niulizie hapa kidogo.... Hivi nyie watu wote mnaounga mkono kauli ya Zitto kwamba Manji anaonewa, anayofanyiwa ni visasi, mnaweza kunambia Rais Magu au RC Makonda ana kisasi na Manji kuhusu nini? Au mnaounga tu mkono kwasabab mnaamini kila neno analosema Zitto ni sahihi sana? Kwanini...
  9. Moses Cellestine

    Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

    Me nafikir Ridhi1 hawez kutwa na Makonda kwasabab Makonda anawajibika na watu wa mkoa wake tu. Sasa Ridhi1 si yuko chalinze?
  10. Moses Cellestine

    Rushwa ya ngono

    Acha ku-give up kizembe ivo.
  11. Moses Cellestine

    Kama haya ni ya kweli kuhusu NWO, basi hakuna aliye salama!

    Me nashauri watu tufanye mambo yamsingi na itafakari kwa kina post yako kabla ya kuirusha. Hizi story kawapigie walokole na waislam wa siasa kali ndo mambo yao hayo. Watakupenda kweli.
  12. Moses Cellestine

    'Who created God' is an Illogical Question!

    We surely don't. And so long as you don't believe in those stuff the peace of mind is even higher. Hakuna Mungu, hakuna shetani, hakuna uchawi ishi kwa amani. Hapa dunian Mbio zako ndizo zitakazo kuokoa.
  13. Moses Cellestine

    Wafahamu Wanefili (majitu makubwa) walioitesa dunia hadi Mungu akaamua kuwaangamiza

    Africa bado sana mkuu. Watu kwa kupakizana kwenye matoroli hatujambo.
Back
Top Bottom