Kichwa chajieleza, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa kuna gazeti la serikali ambalo hutangaza tenda, sheria mpya nk.hivi likoje na huuzwa wapi?
Huandikwa na kina nani? lini? na wapi?
msaada please.
Msaada wenu simu LG CE0168 haisomi mtandao ila ukisearch network inapata mtandao ila haushiki ,je kuna njia ya kurekebisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada yajieleza nahitaji kupima kipande cha ardhi ili nijue kina umbali gani, kinatakiwa kilimwe barabara ya mtaa ili kandarasi asiibe hera nitjuaje umbali wake?
Kumbuka hapapitiki kwamba naweza kutumia pikipiki au gari!
Mimi ni ME,Sina mchepuko ila nimeoa, nimehisi muwasho ndani ya miezi 2 sasa wakati wa kukojoa na ninapokuwa nimekaa kuna kauchafu kama majimaji hunitoka na huwa nahisi maumivu wakati nimekaa ila hupotea baada ya muda,hali hii inanikera sana.Msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.