MWENYE LINK YA KUUNGANISHA VODACOM UNIVERSITY OFFERS NA HALOTEL UNIVERSITY OFFERS ANISAIDIE.

Mosahe

Member
Feb 22, 2017
67
125
Ni freelancer wa mitandao ya mawasiliano hapa nnchi, mwenye ujuzi tajwa hapo juu naomba unisadie.
 
Mosahe

Member
Feb 22, 2017
67
125
Hizo ni lazima uwe mwanafunzi
humu ndani tunafanya ishu/ tunadili na vifurushi vya chuo/ uni offer kwa mtandao wa Vodacom.ukisha badilishiwa line yako kuwa ya chuo utakuwa unajiunga kama ifuatavyo: ukiweka vocha ya sh, 500, utapewa dk50 mb 500 msg 500 ndani ya 24 hour, ukiweka vocha ya 1500 utapewa dk150 gb2 zaintanet 7 days, ukiweka vocha ya 2500 utapewa dk250+gb4 7 days
 
Mosahe

Member
Feb 22, 2017
67
125
TUPENI ELIMU JUU YA HILI WAKUU
humu ndani tunafanya ishu/ tunadili na vifurushi vya chuo/ uni offer kwa mtandao wa Vodacom.ukisha badilishiwa line yako kuwa ya chuo utakuwa unajiunga kama ifuatavyo: ukiweka vocha ya sh, 500, utapewa dk50 mb 500 msg 500 ndani ya 24 hour, ukiweka vocha ya 1500 utapewa dk150 gb2 zaintanet 7 days, ukiweka vocha ya 2500 utapewa dk250+gb4 7 days
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,150
2,000

asante sana mkuu sema niko tigo
 
Mwalimu Hema

Member
Dec 5, 2015
84
125
lazma uwe mwanafunzi...vngnevyo waone halotel watakusaidi kupata simcard ambayo ni ya chuo ambayo iko automatic registered
 
Mussolin5

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,421
2,000
humu ndani tunafanya ishu/ tunadili na vifurushi vya chuo/ uni offer kwa mtandao wa Vodacom.ukisha badilishiwa line yako kuwa ya chuo utakuwa unajiunga kama ifuatavyo: ukiweka vocha ya sh, 500, utapewa dk50 mb 500 msg 500 ndani ya 24 hour, ukiweka vocha ya 1500 utapewa dk150 gb2 zaintanet 7 days, ukiweka vocha ya 2500 utapewa dk250+gb4 7 days
Bei yake sh ngap?
 
GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,106
2,000
humu ndani tunafanya ishu/ tunadili na vifurushi vya chuo/ uni offer kwa mtandao wa Vodacom.ukisha badilishiwa line yako kuwa ya chuo utakuwa unajiunga kama ifuatavyo: ukiweka vocha ya sh, 500, utapewa dk50 mb 500 msg 500 ndani ya 24 hour, ukiweka vocha ya 1500 utapewa dk150 gb2 zaintanet 7 days, ukiweka vocha ya 2500 utapewa dk250+gb4 7 days
Tunafanyaje ili kuipata hyo? Nikutumie namba yangu uniunganishe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom