Vifaa
NAOMBA KUJUA KAZI YA VIFAA HIVI:
1😀IODE
2:CHARGER CONTOLER
ENDAPO KIMOJA KITAKOSEKANA MADHARA GANI HUTOKEA KWENYE MFUMO HUO WA UMEME JUA ?
Hapo najua CHARGER CONTROLLER husaidia ku limit umeme unaotoka kwenye solar panel kuingia kwenye battery pindi battery inapojaa inazuia moto kuendelea kuingia na pia husaidia kulimiti pia moto unaotoka kwenye battery kwenda kwenye inverter (au appliance) Usitumike kupita kiwango cha kwenye battery yaani isi discharge. Ndomana inaitwa CHARGER CONTROLLER. Hiyo IODE sijaielewa.Vifaa
Diode pia hulinda uhai ya panel cells kwa kizuia umeme usirudi nyuma. (Ipo kwenye panel na charger control)1.diode ina ensure flow ya current itakuwa only in one direction
2.charger controller inaprotect betry against over charging na over discharging
kwa majibu hayo kama havitakuwepo nadhani utakuwa umeshaelewa ni kitu gani kitatokea
Diode inadhibiti mkondo wa umeme ufuate njia moja tu..no back flow..
Charger controller,pamoja na mambo mengine,inazuia back-flow ya umeme..kwa lugha nyepesi ni kwamba ndani ya charger controller kuna diode..kwa hiyo sioni sababu ya kufunga diode nyingine separately wakati unatumia charger controller.
charge controller analinda betry yako vs over charging na over discharging,,ukitaka kujua umuhimu wake angalia betry ikiovercharge nini kinatokea na ikiover discharge nini kinatokea
Hivi battery IPI nzuri kwa solar. battery ya maji au dry. Na he battery ya gari inafaa kwa solarMimi nijuavyo ni kwamba, CHARGER CONTROLLER kazi yake kubwa ni kuzuia umeme kutoka kwenye Battery na kurudi kwenye solar.
DIODE huzuia kutokea kwa madhara hasa pale unapounganisha vibaya terminal za Hasi na Chanya, yaani unapounganisha terminal kwenye Battery ambapo HASI (-)huunganishwa na HASI (-) na CHANYA (+) huunganishwa na CHANYA (+)
Kwa hiyo ukiunganisha kinyume chake vitu vinavyotumia umeme huo kama vile radio na charger za simu huweza kuungua papo hapo. Ukifunga DIODE hata kama umekosea kuunganisha vifaa hivyo haviwezi kuungua isipokuwa tu umeme hautapita kwenda kwenye vifaa hivyo.
Naomba wataalamu zaidi watusaidie. Ahsante.
Kazi kubwa ya Diode ni kuelekeza mkondo wa umeme katika uelekeo mmoja, na kazi ya charger control ni kudhibiti mfumo mzima wa kuchaji battery, kwa maana battery zinapokuwa tayari zimejaa chaji basi charger control inazuia kuendelea kuchaji battery hizo. Endapo charge control itakosekana battery inaweza kuwa overcharged.NAOMBA KUJUA KAZI YA VIFAA HIVI:
1😀IODE
2:CHARGER CONTOLER
ENDAPO KIMOJA KITAKOSEKANA MADHARA GANI HUTOKEA KWENYE MFUMO HUO WA UMEME JUA ?
Battery nzuri kwa solar ni dry. Battery ya gari inafaa lakini sio nzuri kwani sio dryHivi battery IPI nzuri kwa solar. battery ya maji au dry. Na he battery ya gari inafaa kwa solar
Sawasawa na ndiyo kazi ya diode inapitisha umeme in one direction ...Kama sijakosea,Diode inazuia umeme usitoke kwenye betri ukarudi kwenye pannel ya solar,yaani inatengeneza one direction flow of current. Nakubali kukosolewa
DIODE HAZILETI ULINZI KWAMTU ALIEKOSEA (don't try) UTAUNGUZA TU! Hizo diod huzuia umeme kurudi kwenye solar cells, (cell huwa zinanyonya umeme au chaji ya betri) mfano betri nikiwa full charged ukafunga solar panel isiyo na diod, chaji itahama ndani ya dakika 10. NB. CHARGER CONTROLLER = DIOD + RESISTER + LED (bulb) kwa ajili ya kutambua umeme kama unaingia kwenye betry na kiwango chakee. Kwa ufupi.Mimi nijuavyo ni kwamba, CHARGER CONTROLLER kazi yake kubwa ni kuzuia umeme kutoka kwenye Battery na kurudi kwenye solar.
DIODE huzuia kutokea kwa madhara hasa pale unapounganisha vibaya terminal za Hasi na Chanya, yaani unapounganisha terminal kwenye Battery ambapo HASI (-)huunganishwa na HASI (-) na CHANYA (+) huunganishwa na CHANYA (+)
Kwa hiyo ukiunganisha kinyume chake vitu vinavyotumia umeme huo kama vile radio na charger za simu huweza kuungua papo hapo. Ukifunga DIODE hata kama umekosea kuunganisha vifaa hivyo haviwezi kuungua isipokuwa tu umeme hautapita kwenda kwenye vifaa hivyo.
Naomba wataalamu zaidi watusaidie. Ahsante.
Hapana. Betri ikiwa na moto....then ukimix polarities diode zinapigwa.Mimi nijuavyo ni kwamba, CHARGER CONTROLLER kazi yake kubwa ni kuzuia umeme kutoka kwenye Battery na kurudi kwenye solar.
DIODE huzuia kutokea kwa madhara hasa pale unapounganisha vibaya terminal za Hasi na Chanya, yaani unapounganisha terminal kwenye Battery ambapo HASI (-)huunganishwa na HASI (-) na CHANYA (+) huunganishwa na CHANYA (+)
Kwa hiyo ukiunganisha kinyume chake vitu vinavyotumia umeme huo kama vile radio na charger za simu huweza kuungua papo hapo. Ukifunga DIODE hata kama umekosea kuunganisha vifaa hivyo haviwezi kuungua isipokuwa tu umeme hautapita kwenda kwenye vifaa hivyo.
Naomba wataalamu zaidi watusaidie. Ahsante.
Kuna diode kwenye solar ufunge nyingine ya nini?Diode inadhibiti mkondo wa umeme ufuate njia moja tu..no back flow..
Charger controller,pamoja na mambo mengine,inazuia back-flow ya umeme..kwa lugha nyepesi ni kwamba ndani ya charger controller kuna diode..kwa hiyo sioni sababu ya kufunga diode nyingine separately wakati unatumia charger controller.
Battery nzuri kwa solar ni dry. Battery ya gari inafaa lakini sio nzuri kwani sio dry
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°