Recent content by Morrison

  1. M

    Haya ndio yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Pemba

    Alaaah kumbe, hata CCM kuna ''Hizbu'' na ''Machotara''!
  2. M

    Wakati Rais akiimarisha ushirikiano na Israel, jionee kinachoendelea

    Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere kama mpenda haki na mpinga ukoloni hakuitambua Israel maishani mwake, na aliiunga mkono Palestina kwa nguvu zake zote.
  3. M

    Rais Magufuli na gharama za mikutano ndani ya Ngurdoto

    Kwa suala hili Mkuu, usipotoshe mambo tafadhali, kwani wajumbe wa mkutano huo walikwenda kutalii au walikuwa na mkutano wa kikazi. Sasa mkutano wa kikazi unataka wakfanyie kwenye Hoteli ya kitalii?!
  4. M

    Vurugu za Umeya Dar: Polisi wazingira nyumba ya Halima Mdee kumkamata. Ajisalimisha!

    Kwa mawazo mgando hayo uliyonayo, yaonesha wazi elimu yako hadi sasa haijakusaidia! Tofauti ya mawazo ktk jamii ni jambo la msingi sana ili kuwezesha ujenzi wa hoja zenye tija kimaendeleo.
  5. M

    Double Standards za Ikulu kumtetea Ombeni Sefue

    Usafi wa nchi hii unapaswa kuanza kwa kurekebisha mifumo ya sheria kwa kuanza na Katiba Mpya, hususan Katiba ya Wananchi kwa kuhuisha Rasimu ya Tume ya Warioba ambayo pamoja na mambo mengi mazuri, inazuia viongozi na watumishi wa umma kuficha fedha nje ya nchi kiholela, jambo ambalo aghlabu...
  6. M

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Nawe IQ yako ni ndogo zaidi kwa kunasibisha kipimo cha IQ na utendaji kazi wa JPM kwamba yuko sahihi kwa kila jambo kama unavyoamini.
  7. M

    CUF Yatangaza Maandamano Makubwa Dar es Salaam

    Kwa hiyo samia suluhu ni balozi huku Tanganyika?!!
  8. M

    Jaji Warioba: Kurudia Uchaguzi Zanzibar ni Hatari

    International Community aliyewataja mchangiaji ni sehemu tu ya waangalizi waliokuwepo Zanzibar kwenye uchaguzi ule wa Oktoba 25, lakini pia kulikuwapo waangalizi wa ndani ikiwa ni pamoja na LHRC ambao miongoni mwao wengi wao ni Watanzania wenzetu, maoni yao kuhusu uchaguzi kuwa uliwa huru na...
  9. M

    Jaji Warioba: Kurudia Uchaguzi Zanzibar ni Hatari

    International Community aliyewataja mchangiaji ni sehemu tu ya waangalizi waliokuwepo Zanzibar kwenye uchaguzi ule wa Oktoba 25, lakini pia kulikuwapo waangalizi wa ndani ikiwa ni pamoja na LHRC ambao miongoni mwao wengi wao ni Watanzania wenzetu, maoni yao kuhusu uchaguzi kuwa uliwa huru na...
  10. M

    Jaji Warioba: Kurudia Uchaguzi Zanzibar ni Hatari

    Kwa povu lako hilo wamaanisha itikadi ya chama chenu ni kung'ang'ania madaraka hata kama mmekataliwa kupitia uchaguzi wa ki demokrasia?! Shame on you! Msituletee balaa nchini.
  11. M

    Hoja ya kuuzwa nyumba za Serikali ni uvivu wa kufikiri

    Tatizo si Ma-padlocks, tatizo ni chama chake na mfumo wa kufanya maovu na kulindana uliojijenga ndani ya chama chake ccm, ushahidi EPA,ESCROW, MEREMETA,et al. Nikimpima uwezo wake wa uongozi ngazi ya urais naona HATOSHI. Ngazi ya Urais ni kutoa maamuzi na kuyasimamia kama ulivyobainisha kwa hoja...
  12. M

    ACT Tanzania wamepata wapi pesa za promo star Tv?

    Hakika nami nasikitika! Hata kama ni kweli beyond reasonable doubt kwamba Zito alikuwa kirusi ndani ya Chama, nadhani haikuwa busara kumuengua instantly. Siasa za Zitto zimewateka wengi hata sisi tusio na vyama. Tumeona dhahiri hatua iliyo katika nia ya kumfukuza Zitto ni tishio la ustawi wa...
  13. M

    Uzinduzi wa chama ACT Tanzania March 29, 2015, kumbe walikuwa hawajazindua?

    Simlaumu Zitto kwa udhaifu wake kukubali kutumika na taasisi zilizotajwa kuhujumu chama chake mara tu alipofikiwa na kuombwa kufanya hivyo pale 2008. Nasema hivyo nikizingatia nguvu za taasisi zilizomfikia na kumtaka afanye walichomtaka akifanye. Nina hakika maisha yake yalikuwa hatarini endapo...
Back
Top Bottom