Haya ndio yaliyotokea usiku wa kuamkia leo Pemba

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
CCM tuliwaambia vita ikija haichagui, na wakati wa vita hasa ya kiraia kama hii uliopo Zanzibar huwezi kufanya upembuzi huyu ndie huyu sie.

Kilichotokea mtoto wa bin Haroub ambaye ni CCM usiku wa kuamkia Leo askari wakiwa pamoja na Mazombi’ wamechapa vibaya vibaya kwa kukaidi agizo la Mkuu wa Mkoa, kosa kujifanya walinzi wa maskani yao mjini Wete Pemba wakisahau kwamba mwisho ni saa mbili usiku kukaa nje Mkoa wa Kaskazini.

10464141_1176213469064368_2876723535492258797_n.jpg

10403380_1176212549064460_3513601701457600691_n.jpg
 
Ila tuna matatizo makubwa sana kuliko tunavyodhani katika nchi zetu hizi za Kiafrika.Sababu ys kuweka katazo kutotembea usiku nini.
 
Hiyo wakienda
 

Attachments

  • IMG-20160315-WA0004.jpg
    IMG-20160315-WA0004.jpg
    106.5 KB · Views: 109
Zanzibar itabidi mashehe wawatangazie watu kuwa sasa uislamu ni swala NNE na sio tank kwa agizo la serikali ya ccm kwani ukienda msikitini kwa ajili ya swala ya tank SAA mbili itakukuta huko na utajua ccm ni nani
Hapana tutaongeza muda. Lkn mwenda kuswali anafahamika. Ila bahati mbaya ikikukuta wewe utulie tu.
 
Back
Top Bottom