Recent content by moro

  1. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Daah!! ZIMBA mzee wa tofali yupo bado? Kjna wakati hua nataman siku zirud nyuma.
  2. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Hahahs Master ndio.. Alikuwa anacheza karate.. Daah!! Meta ile sijui leo ikoje.
  3. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Kuna tozi moja alikua anafundiasha civics olevel anaitwa Mpwiniza hivi naye bado yupo? Meta lilikuwa chama sana.. Daah!!
  4. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Hahahaa Gwimile daah!! Mfupi hivi..
  5. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Ile meta ilikuwa tamu sana enzi za kuingia na card getini.. Sijui nowdayz mambo yakoje aisee,,,
  6. moro

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Alikuwa mwalimu wa Nidham gari moshi daah!! Kitambo mnoo.. Way back 2001 namaliza olevel pale..
  7. moro

    Gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa vyumba 3 Mwanza

    Thanx for good analysis nimeelewa pa kuanzia sasa..
  8. moro

    Gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa vyumba 3 Mwanza

    Mtu anapoomba ushauri maana yake hana hata raman anachotaka ni nkujua ajipange vipi? msaada kwa anayejua anaweza kumshauri vizuri. Asante.
  9. moro

    Gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa vyumba 3 Mwanza

    Nipe mchanganuo kidogo mdau..
  10. moro

    Gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa vyumba 3 Mwanza

    Nipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu. Napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha. Mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare pamoja... Asante.
  11. moro

    Mishahara ya watumishi serikalini mwezi huu kunani?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. moro

    Apata kipigo kwa kuwaita wenzake chura

    [emoji16][emoji3][emoji16][emoji3]
Back
Top Bottom