Recent content by Moro¹One¹

  1. M

    Ahadi hewa zilizotolewa na Viongozi wa CCM kwa mwaka wa fedha 2024

    Ahadi hewa Ujenzi wa Barabara ya Bigwa - Kisaki Morogoro(Kuanza na KM 70), 2023/2024. Hata bango hakuna, imejaa mahandaki na mashimo. Ni dhuruma sana kwa wananchi wanaoteseka.
  2. M

    Ninahisi TZS iko 'virtually pegged' kwenye USD

    Mazao ya kilimo yanaenda nje kama hayana akili nzuri, ni balaa. Makontena ya kunde,mbaazi, ufuta, korosho, maharage,choroko zinaenda india, malaysia,indonesia na China nenda mandela road ukaone. Madini, nyama na Samaki ukijumlisha na wawekzaji wengi wanaingia kutafuta fursa lazima shilingi...
  3. M

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ipo hivi. Spain ina SGR electric train ambazo pia zina alternative engine za diesel. Umeme ukikatika, engine za diesel zinawashwa safari inaendelea,umeme ukirudi then electric engine zinaendelea kufanya kazi. Vinanunuliwa vichwa vichache vya dharula.Ila wabongo kwa kupinga hamjambo. Mtaendeleaje...
  4. M

    Yanga & Simba kwa makocha hawa asilimia 50 heshima ya nchi kwenye soka itashuka

    Kiufupi Yanga hakuna kocha na Simba hakuna Kocha. Club zetu mwaka huu zinashuka viwango zote. Simba Kocha mbovu, wachezaji tumepigwa(Mutale, Ahoua, Karabak, hakuna kitu), Yanga usajili wao pia mbovu, na Kocha mbovu.
  5. M

    Kuna maombi ulimwenguni kote kuliombea taifa la Israel (pray for Israel)

    Pray for Israel🤲!!. Andiko pia litimie kwa haraka, katika Wakati wake Mungu. Ezekiel 38.
  6. M

    Humphrey Polepole ahubiri kuwa 2042 ndiyo mwisho wa Dunia na kurudi Yesu mara ya pili

    Nimemuangalia, then naona yupo vizuri sana katika kutafakali Biblia, ana macho sana ya rohoni na hekima ya kuupima wakati. Nashukuru, maana crip yake imeniongezea kitu fulani , ambacho kitanivusha kama nikizingatia. Hongera kwake.
  7. M

    Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    Ndio kazi zilizobaki kwa sasa, hamna namna, ngoja nijipange nami!.
  8. M

    Make Kilimanjaro great again Serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa

    Kwahiyo icho ndicho mlichojadiri Christmas hii huko Kilimanjaro. Mpate serikali ya Majimbo ili baadae mjitenge. Hamuoni kwamba Wachaga mnakufa Kimawazo. Sifa zenu zinawadidimiza. Kama Kilimanjaro ni mkoa wenye fursa bora, kwanini Treni za umeme (SGR) zinajengwa kuelekea Central...
  9. M

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Morogoro, Matombo eneo la juu la milima ya Uluguru zinakubari sana, zinatoa masuke makubwa sana kwenye migomba ya ndizi. Tatizo madalali wanalalia sana.
  10. M

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Mhhh, mwaka huu, Morogoro(Matombo), Vanilla imekuwa haieleweki bei. Wakulima wa Vanilla Matombo walichukuliwa vanilla zao na kuambiwa kutokana na Corona, bei haieleweki kwenye soko la dunia. Baada ya mwezi wakaletewa elf 5,000 kwa kilo, alafu wakaongezewa elf 9,000/=. Kwahiyo mwaka huu vanilla...
  11. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Sawa, unavyoamini wewe. Naeshimu mawazo yako pia.
  12. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Uwe Padri, Askofu, Mchungaji, Unatoa pepo, Maadam wewe ni tajiri, unaangukia kwenye kanuni ile ile ya huwezi kumtumikia Mungu na Mali, either uambatane na Mungu au Uambatane na Mali zako. Mungu ni mwaminifu, maneno yetu mengi ya kupambana labda alimaanishe vingine haimsumbui. Kumbuka tajiri...
  13. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Hakuna hao watu duniani hapa, (Uwezi kutumikia mabwana wawili). Matajiri hawawezi kuiteka Mbingu, b'coz , fedha zao ukamilisha tamaa zao zote ziwajiazo. Na kila wakifanyacho duniani, kina mapungufu mengi ya Ki-Mungu, bali kimejaa heshima na tabia za Kidunia. Matajiri wanaonekana kama wacha Mungu...
  14. M

    Wasichokijua Wengi Kuhusu Marko 10: 25 katika Biblia

    Mungu ni kama Kanuni(Formula), Ukiipata dunia na kuipenda (utajiri na sifa za kidunia) basi unakosa mbingu, maana wewe ni wa dunia. Lakini ukiikosa dunia hata kuichukia( Shida na maangaiko mengi) na ukamjua kidogo Mungu na Masia wake ,basi unaipata mbingu. Chagua ni lako.
  15. M

    Nimekutana na wahitimu 2 wa chuo kikuu wakifanya ujasiriamali Kariakoo mtaa wa Kongo kwa mtaji usiozidi elfu hamsini. Aibu kwa taifa

    Kama watu watasoma na kufika level ya degree na wazazi wao ni masikini, basi lazima wakaajiriwe. Maana wameshavuka hatua au umri wa kutafuta kwa njia ambayo mtu alieishia darasa la saba ameanza nazo. Kama tunataka graduates wajiajiri wakimaliza elimu yao, basi tuwaambie mapema wakiwa form 4, na...
Back
Top Bottom