Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,098
- 1,700
Kabisa mkuu,me huwa namshangaa sana mtu anaemuonea wivu wa hasira mtu alotafuta pesa kwa muda mrefu.Na akija kukuta nao miaka 5 ijayo wakiwa na maduka yao mkubwa wakiwa wako huru kabisa kiuchumi ataanza kuwaonea wivu wakati yeye anaabudu kuajiriwa ili aendelee kutumwa tumwa.
Ukiona mtu anaimiliki pesa na kuiendesha vizuri kwa % kubwa huyo lazima alipitia shule ya msoto wa kuzisaka na akafanya vingi na vikafeli mapak kufika kwenye reli.
Pesa ya kweli ni ngumu kuipata na ukishapatikana ni ngumu kutoweka maana mpataja huwa anaiheshimu na kuilinda haswa kwa kuwa kila akikumbuka njia alizopitia kuzipata daaah