Tujuzeni nyie mliekuwepo uwanjani ni kweli watu waliruhusiwa kuingia bure? Na je baada ya kuingia walionyesha alama ya vidole viwili vya chadema?
Nafanya tuu utafiti jamani
Mkuu it is just a trick
Watch out mke wako atakuambia anaenda harusini kumbe anaenda kutoka na boy mwengine halafu huku nyuma anajifanya anakupenda na mapenzi motomot
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.