Recent content by MOREMI2006

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na ndoto za kuwa nani utakapokuwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au maisha yamekupeleka kwingine?

    Mie nilikuwa natamani kuwa ngunguri kwani baba yangu naye alikuwa ngunguri lakini kilicho tokea sio kama vile japo ni familia moja kama ngunguri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 3, Rais Samia amesafiri nje ya Nchi mara 54, gharama zake bado siri

    Unapata nguvu wapi na ujasiri wa kuhoji safari za mheshimiwa? INGIA NDANI YA MFUMO NDIO UTAJUA NINI MAANA YA SAFARI ZA MKUU WA NCHI.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe

    OCD SIO CHEO WW HAYO NI MADARAKA WW
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Ukiingia ndani ya polisi ndio utajua hayo kuwa kuna ofisa na askari wenyewe huwa wanajiita RANK and FILE
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Saba sita ni namba zake za mwanzo za ajira na si vinginevyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Kwani umelazimishwa kusoma?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajali za Kisiasa za kutengenezeana zinavyoua ndoto za Viongozi wetu bora

    Usiongozwe sana na hisia na kuongea huko kana kwamba una ukweli wowote kuhusu jambo hilo,mie kwangu atabaki kuwa rais bora sana kutokea kwani ni baba wa demokrasia haswaa hapa kwetu Tanzania.Na siku zote mkubwa ni jalala kila baya litokeapo lazima atanyoshewa kidole na hao binadamu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anga linaongea uwepo la turubai lingine kubwa

    Duh,mshana una kauli fikirishi sana kwa hiyo tunajiandaa kwa parapanda tena
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

    Baba na mtoto jitokezeni mje kujibu kadhia hii ambayo inawahusu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Fuatilia maisha yako wewe,furahia sana tunu hii ya amani tuliyo nayo japo gharama zake huzijui
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Samia fanya Uchunguzi wa Fedha za Taifa Stars huko Ivory Coast kisha fukuza Kazi Waziri Dkt. Ndumbaro

    Mbona baadhi yenu mnamshambulia sana GENTA?,ww kama unaona habari zake zina makando kando hulazimishwi kuzisoma na kutoa comment.Pita kule acha wengine wasome na kujifunza mazuri toka kwake,songa mbele genta kwani wafuasi ulionao humu jamvini ni wengi sana na wanakufuatilia haswaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

    Kwani umelazimishwa kusoma na kutoa comment?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Mwalimu NESTORY a.k.a sura mbaya na misemo yake maarufu kwaata amatwe au kwaata empambo miaka hiyooo pale zamzam shule ya msingi-bukoba mjini
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Kama kuna ukweli vile
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Sizitaki mbichi hizi
Back
Top Bottom