Tafadhali Rais Samia fanya Uchunguzi wa Fedha za Taifa Stars huko Ivory Coast kisha fukuza Kazi Waziri Dkt. Ndumbaro

Mbona baadhi yenu mnamshambulia sana GENTA?,ww kama unaona habari zake zina makando kando hulazimishwi kuzisoma na kutoa comment.Pita kule acha wengine wasome na kujifunza mazuri toka kwake,songa mbele genta kwani wafuasi ulionao humu jamvini ni wengi sana na wanakufuatilia haswaaa
 
Kuna Upigaji mkubwa sana umetokea huko na cha Kushangaza Wachezaji wamepewa Pesa Kidogo, ila Wahamasishaji akina Mwijaku na Baba Levo pamoja na Wanakamati wamegawana Kiasi kingi hali ambayo imewachukiza sana Wachezaji wa Taifa Stars.

Mheshimiwa Rais Samia ili hili lisijulikane Kwako na kwa Watanzania ni kwamba Waandishi wa Habari wote waliokuwa huko Ivory Coast nao Wamemegewa chao na ndiyo wamenyamaza ila Mzalendo Mwandamizi na wa Kweli Tanzania hii GENTAMYCINE ndiyo nakupa sasa hii Taarifa.

Fukuza Kazi upesi Waziri Dkt. Ndumbaro na huyo Naibu wake Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) mbadilishe Kituo kwani nae ni wale wale.

Na mwisho Mheshimiwa Rais wakuambie kwanini Taifa Stars ilikwama kurejea nchini Nyumbani kwa Siku Nne au Tatu baada ya Kutolewa Mashindano wakati Timu zingine zote huondoka huko Ivory Coast Kesho yake tu?
Mwizi amchunguze mwizi! Ndio kamba ya waziri hapo, na rais kawapa ushauri wale kwa urefu wa kamba zao, sasa achunguze nini? Wanaoibiwa yawapasa waamke sasa.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mnataka tu kumtafutia lawama Rais kweli mnaamini anaweza fanya any uchunguzi? Msidhani kila mtu can do that. Mwacheni rais afungue nchi kwanza. Hayo mengine si issue. Kwani watanzania wentewe wanasemaje abt that?
 
Mbona baadhi yenu mnamshambulia sana GENTA?,ww kama unaona habari zake zina makando kando hulazimishwi kuzisoma na kutoa comment.Pita kule acha wengine wasome na kujifunza mazuri toka kwake,songa mbele genta kwani wafuasi ulionao humu jamvini ni wengi sana na wanakufuatilia haswaaa
Asante sana Mkuu na Ubarikiwe mno kwa Kunikubali GENTAMYCINE na kuwa mkweli na muwazi.

Waione hii wale FOOLISH HATERS Wote.

Cc: Ubena Zomozi, Aigle, Mtani wa Taifa, Dr Matola PhD, CAPO DELGADO, Steven Joel Ntamusano, Von Bismarck, Frank Wanjiru, and few others.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Kuna Upigaji mkubwa sana umetokea huko na cha Kushangaza Wachezaji wamepewa Pesa Kidogo, ila Wahamasishaji akina Mwijaku na Baba Levo pamoja na Wanakamati wamegawana Kiasi kingi hali ambayo imewachukiza sana Wachezaji wa Taifa Stars.

Mheshimiwa Rais Samia ili hili lisijulikane Kwako na kwa Watanzania ni kwamba Waandishi wa Habari wote waliokuwa huko Ivory Coast nao Wamemegewa chao na ndiyo wamenyamaza ila Mzalendo Mwandamizi na wa Kweli Tanzania hii GENTAMYCINE ndiyo nakupa sasa hii Taarifa.

Fukuza Kazi upesi Waziri Dkt. Ndumbaro na huyo Naibu wake Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) mbadilishe Kituo kwani nae ni wale wale.

Na mwisho Mheshimiwa Rais wakuambie kwanini Taifa Stars ilikwama kurejea nchini Nyumbani kwa Siku Nne au Tatu baada ya Kutolewa Mashindano wakati Timu zingine zote huondoka huko Ivory Coast Kesho yake tu?
Sawa.
Ila tunaomba utoe ushirikiano
 
Mbona baadhi yenu mnamshambulia sana GENTA?,ww kama unaona habari zake zina makando kando hulazimishwi kuzisoma na kutoa comment.Pita kule acha wengine wasome na kujifunza mazuri toka kwake,songa mbele genta kwani wafuasi ulionao humu jamvini ni wengi sana na wanakufuatilia haswaaa
Ona jinga hili.
 
Nawasikitikia wote waliyochangia fedha taifa star

Alafu nna swali hivi hao wakina mwijaku babalevel joti wamefanya kitu gani kuhamasisha ???

Nchi hii ina us-#£ mwingi sana aise

Ova
 
Mbona baadhi yenu mnamshambulia sana GENTA?,ww kama unaona habari zake zina makando kando hulazimishwi kuzisoma na kutoa comment.Pita kule acha wengine wasome na kujifunza mazuri toka kwake,songa mbele genta kwani wafuasi ulionao humu jamvini ni wengi sana na wanakufuatilia haswaaa
Aisee we mgeni humu ?
 
Kuna Upigaji mkubwa sana umetokea huko na cha Kushangaza Wachezaji wamepewa Pesa Kidogo, ila Wahamasishaji akina Mwijaku na Baba Levo pamoja na Wanakamati wamegawana Kiasi kingi hali ambayo imewachukiza sana Wachezaji wa Taifa Stars.

Mheshimiwa Rais Samia ili hili lisijulikane Kwako na kwa Watanzania ni kwamba Waandishi wa Habari wote waliokuwa huko Ivory Coast nao Wamemegewa chao na ndiyo wamenyamaza ila Mzalendo Mwandamizi na wa Kweli Tanzania hii GENTAMYCINE ndiyo nakupa sasa hii Taarifa.

Fukuza Kazi upesi Waziri Dkt. Ndumbaro na huyo Naibu wake Hamis Mwinjuma ( alias Mwana FA ) mbadilishe Kituo kwani nae ni wale wale.

Na mwisho Mheshimiwa Rais wakuambie kwanini Taifa Stars ilikwama kurejea nchini Nyumbani kwa Siku Nne au Tatu baada ya Kutolewa Mashindano wakati Timu zingine zote huondoka huko Ivory Coast Kesho yake tu?
Vipi jamaa hukupewa mpunga wa kutosha nini...

Ila suala la timu kutorudi siku moja baada ya kuondolewa sidhani kama ilikuwa na uhusiano na hizi pesa zilizochangwa na wadau labda kulikuwa na hoja nyingine iliyo nyuma ya pazia
 
Bi hadija mwenyewe aliwapa ruksa ya kujipimia kadri kamba inavyokuruhusu.....labda atengue kwanza ile kauli.
 
Back
Top Bottom