Recent content by moreen mollo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Najaribu kufungua akaunti ya kikundi lakini napata ujumbe huu

    Niko katika ufunguzi wa Akaunti ya Kikundi ila ninapata huu ujumbe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Mimi nilisubmit kila kitu lakini juzi nimefungua mfumo wanasema sikukamikisha usajili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa GPS TRACKER za magari

    Hallo naomba kupata mtaalam wa masuala ya Kufunga Gps kwenye magari 0766806904
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wall Screen Technology

    Mfano wa hii
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wall Screen Technology

    Ndg wadau ninaomba kuoata uelewa wa Hii technology ya Wall screen maana kuna sehemu nataka kuitumia.. Ninaomba msaada wenu kujua mambo yafuatayo: 1. Upatikanaji wake 2. Gharama yake 3. Meintenance yake ikoje 4. Na je ina quality ya kuweza kuonesha vzr? NATANGULIZA SHUKURANI [emoji120]
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Insurance Agency

    Ahsante sana nimekuelewa [emoji120]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Insurance Agency

    Nashukuru sana kwa maelezo yako...Je naweza kuwa na Kampuni tofauti tofauti za Bima ndani ya Ofisi moja?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Insurance Agency

    Sorry Mkuu ni typing error namaanisha "INSURANCE AGENCY" [emoji120]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Insurance Agency

    Habari za mahangaiko ya kila siku wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali. Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Ninafikiria kufanya biashara ya kuwa na ofisi ya kukata Bima za aina mbalimbali pamoja na Huduma ya LATRA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwenu mnao hate me kumsapoti Diamond humu ndani

    Mpe basi na ---- ili udhihirishe kwamba unamsaport
  11. M

    JamiiForums Tanzania matokeo form 4: meya bukoba afanya utapeli

    Kiukweli huyu baba si mara ya kwanza wala ya pili huwa ndo utaratibu wa hiyo shule cha ajabu wazazi wako kimyaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: JESHI la Polisi Mbeya, linawashikilia watu 13, wakiwemo askari JWTZ kwa Mauaji, Unyang'anyi

    Si kwamba walimu tu ndo hawana maadili bali sekta zote
  13. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda hii ni chafu haina tija kwa taifa

    Na nazan hauko sure na wewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Can you be serious

    Huyu cjui amekuwaje
Back
Top Bottom