Can you be serious

Can you be serious

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
Naangalia taarifa ya habari ya ITV namwona mheshimiwa raisi anafungua kikao cha wizara ambazo serikali imeamua iweke kipaumele kwenye maeneo sita baadhi ni elimu, maji ,uchukuzi etc kilicho nisikitisha kwenye hotuba rahisi anauliza who doesn,t know wanafunzi wanafeli harafu anacheka sana ,huyu yuko serious kweli?
 
Nimeona hiyo habari, kiukweli inatia hasira sana ilibakia kidogo nipasue TV.. jamaa anacheka tena kwa kejeli kama vile "who cares" kufeli kwa wanafunzi..

:shut-mouth::crying::tape2:
 
Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake. Nilijaribu kuangalia reactions za watu waliokuwa wakimsikiliza lakini sikuona aliyecheka...labda they didn't get Mr. President.
Kwa kweli inauma kuwa MTANZANIA.
 
Amalize tu muda wake naona 2015 mbalii kwelii yaani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom