Recent content by MoPlan

  1. MoPlan

    Usimuamini sana mtu, yamenikuta mwenzenu

    Mimi hata ndugu siwaamini sembuse marafiki
  2. MoPlan

    Kuuza Figo kwa Tsh 250 Milioni

    India kwanini tena siku hizi Muhimbili wanafanya huo upandikizaji
  3. MoPlan

    Sitasahau 2016, nilipungua kilo sita ndani ya wiki moja

    Dah hakuna kitu kinaumiza moyo kama kuwa na gari mbovu, yaani muda wote mashaka
  4. MoPlan

    Ujenzi: Namna sahihi ya kupunguza gharama wakati wa kujaza kifusi

    Hii stage ndo inanitesa kwa sasa, nimeshaingiza gari 6 mpaka Sasa lkn naona msingi bado unadai, hivyo nimeamua kuchimba shimo la choo
  5. MoPlan

    Historia ya neno Msela na Baharia

    Naona dawa ya mswaki hapo,lazima kibogoyo afaidi!!
  6. MoPlan

    Wabongo hatuna misaada kabisa wakati wa ajali na majanga

    Wazungu wana hii "Mind your own business" [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. MoPlan

    Ushauri kwa Diamond: Mpe Mji Harmonize, Kashapevuka

    Comments kama hizi ndo zitakazomfanya Harmonize atoke wasafi ili kuthibitisha sasa amekua na anaweza kusimama mwenyewe
  8. MoPlan

    Ni ushamba Kulazimisha majina ya watoto yaendane hata kama hayaleti maana?

    Ahsante kwa ushauri lkn sitoufanyia kazi, Me na wife majina yetu yanaanza na herufi "M" hivyo tumeamua watoto wetu majina yao nayo yaanze na herufi M. Tayari tuna wawili Muddathir na Munira, tukijaaliwa mtoto mwingine utaratibu ni ule ule wa kuanza na herufi M
  9. MoPlan

    Huyu aslay anakwama wapi?

    Tuseme tu ukweli, zile ngoma zake za kufanana fanana zilikua mbaya
  10. MoPlan

    Night Bando Imekua nusu yake

    Voda pia wameshusha, now ni GB 2 night bundles
  11. MoPlan

    Tuliosoma chuo tukatoka patupu tukutane

    Kozi za kitaalam kama IT, Computer science na engineering ni lazima upate wakufunzi waliobobea ili na wewe uwe bora, haya mambo ya kumwambia mtu ajifunze mwenyewe ilhali mambo ni mengi muda mchache ni kuumizana tu.
  12. MoPlan

    Pasipo Ali Kiba, Ommy Dimpoz si chochote

    Dah namuelewa sana Dimpoz, nasikitika huu uzi una lengo la kum discredit Dimpoz
  13. MoPlan

    Mabasi ya UDART ndani ya maji tena, watu wawajibike hapa

    Anayepaswa kuwajibishwa haswa no yule aliyekuwa Waziri wa ujenzi kwani hasara zote hizo na zitakazoendelea kuja ikiwemo kuja kubomolewa barabara ya jangwani ni yeye ndio kasababisha!!! Kivuko alinunua bomu akakigawa jeshini,labda na barabara nayo ataigawa!!
  14. MoPlan

    Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

    Mkuu hizi mambo hazina formula. Ukienda Europe wadada wanajiua kwa kuwa wanene ilihali hapa bongo dada zetu now wako busy kwenye diet na detox kukata unene. Selfie tu ndio zimesababisha wadada watamani unene ila wa matako ili wakibinua kiuno aonekane Msambwanda upo - sijui ndio nyumba choo ama...
Back
Top Bottom