Recent content by mopaozi

  1. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Unawapangiaje cha kupeleleza? kama una taarifa wapatie siyo kuingilia mambo ya chumbani
  2. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Tumbo kubwa pia limejaza nnya hakikisha unaenda choo haja kubwa walau mara saba kwa siku wengi wamebebelea nnya
  3. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

    Ukishajua aliko?
  4. mopaozi

    JamiiForums Tanzania CDF Venance Mabeyo, hana kipaji cha kudeliver speeches, hii kazi amuachie Chief of Staff

    Umemchambua kwani ye mchele
  5. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Zitto: Unawezaje kuwa na mabombadia, maSRG, madremliner unashindwa kuwa na vifaa vya kuokoa wanyonge?

    Huyu jamaa bana kazi yake ahh
  6. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya mjini

    Ni vilaza tu watapatikana km mzazi unapaswa kiwa na simu ya mwalimu wa darasa unaazaje kuwasiliama na huyo tapeli
  7. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

    Huu ulaji kidogo saanaaa wazee wa subaru watakutoa baru wao lita 10 km 2
  8. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

    Why simuoni selemani msindi ziz iz not fea
  9. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mchungaji apigwa risasi 40 bila hata moja kupenya mwilini mwake

    Imani kali kama ya kinjekitile na vita ya majimaji
  10. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ulaji wa chakula hiki husababisha wanaume kuwa mashoga na wanawake kuwa wasagaji?

    ushoga dar unachangiwa na kiasi kikubwa na kuiga tabia za kimagharibi kupitia filqmu tamthilia mitandao then kuna mabasha wanarubuni vijana wenye njaa na wengine wanajitakia wenyewe
  11. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Kuku Wangu hatagi

    Mchunguze huenda anakula Baada ya kutaga
  12. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Haya wale Walafi, wasiopenda kufanya mazoezi na wanaokurupuka kutumia dawa bila ushauri mmewasikia WHO

    ulaji wa nyama hauna shida kabisaaa ulaji wa miugali miwali miharagwe mikate mihapati na miwanga yootee na misukari ndiyo shida sana na chanzo cha matatizo yooteee watu wa dar ni wavivu sana mtu yuko tayari akae kwenye foleni dakika 50 wakati anaenda sehemu ya kutembea kwa miguu dakika tano...
  13. mopaozi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    Enzi za mwalimu angechapwa viboko sita hadharani
Back
Top Bottom