Recent content by Mopane

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

    Hivi wako wap wale polisi wakudhibiti fujo kule kwenye hoja ya katiba mpya?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

    Hapa ndipo wazazi wengi wanapoharibu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    roho ya mauti ilimzidi nguvu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makonda sikumkubali kwa asilimia mia ila leo nimejikuta namuonea huruma

    Naona wale waliokimbia na ndala wakirudi na safari buti zao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

    Maisha sio rahisi kihivyo useme mwanamke atakaa nyumbani kumlea mtoto kwanza kuna changamoto za mayaya ,kule daycare ndo imekua salama ya kulelewa watoto ila kama anaweza amfungashie chakula chake mwenyewe
  6. M

  7. M

    JamiiForums Tanzania Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

    na fumbo lililofichwa sana,inafanana na tajiri aliyezivunja ghala zake na kuzitengeneza kuwa Kubwa zaidi ajiwekee akiba Mungu akamchukua usiku !
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta: Hatuwezi kuendelea na lockdown

    Piere Nkurunzinza aliona corona ni ka ugonjwa kadogooo hatimaye wamefanya election na wamepata viongozi!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hellow my name is mopane

    asante Babu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hellow my name is mopane

  11. M

    JamiiForums Tanzania Hellow my name is mopane

    Tangu ikiitwa jambo forum nilikua naperuzi humu na kusikiliza music, namkumbuka afrodenzi na wengine wengi!
Back
Top Bottom