To be honest kwa upande wangu, paper ya tax management officer kama ingesahihishwa fairly I wouldn't expect nothing less than 85% thats to the minimum. Walitoa maswali rahisi sana mfano 1. Conditions for claimability of input tax. Ambazo majibu yake yametajwa S.68(1)a-c ya Vat act cap 148 10...
Unfairnesa ya ajira za TRA ni ya ajabu. Kigezo kipi kimetumika kuchukuwa watu wenye marks 70 za juu dhidi ya marks 70 za chini zenye nyekundu. In general Kama maombi yetu yanaweza kumfukia raisi wetu Mama Samia tunamuomba sana arudushe mchakato huu PSRS ili kuwezesha watu stahiki kuweza kupata...
Nina uhakika 100% kuwa usahishaji wa tax management officer haukua fair.
Generally paper yenyewe ilikua na makosa ya uchapishaji mengi tu mfano time allowed iliandikwa 70mins (ninty minutes)
Title ya paper yenyewe pia ilikosewa kuandikwa Ila.
a) Overall assemment kwenye procedures and...

Forex is a real business, nilioisoma kwenye international finance 3rd year Mzumbe. Tatizo letu wa bongo ni kuwa tuko miaka 50 behind technology. Kutokua na ujuzi na maarifa sahahihi kunatuponza sana. Anyway, nakubaliana na Mr Chasha tatizo letu wabongo ni kukosa consistency. Do what you love and...
Kuna yakujifunza mengi kutokana na kifo chake hivi tunavoongea Leo anaanza usiku wake ndani ya kaburi kufahamika kote watu walioenda kuzika hawafiki 500. Allah amlipe yanayomstahiki na atusamehe wote kwa ujumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.