Recent content by Monyiaichi

  1. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo inawaibia Watanzania

  2. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Serikali wanaionea CHADEMA

    Mi huwa najua mtoto huiga kwa wazazi wake, sema tu mtoto huyo kazidisha maradufu, system ya chama hiyo, huyu kawazidi tu wenzake wote
  3. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tumebaini kusudio la kubambikiwa kesi ya mauaji ya Aquilina

    Kiti anachokalia mbunge wa kinondoni kina damu ya Aquiline , akae/mkae mkijua hilo, vyovyote vile amini msiamini, kile kiti kimebeba damu ya Aquiline yaani kwa maneno mengine kiti kina laana, subirini muone. Haya ni mawazo na imani yangu ''mimi''.
  4. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Kwikwikwiiii, mi nahisi jamaa anavuta muda wahusika wapate njia ya kutokea, si wanabishana nae atoe advance? Inakwenda hadi waje wagundue kuwa jamaa hana issue siku zimesogea na pengine mwenyewe akapata njia ya kurejesha mzigo wake. Hayo ni mawazo yangu lakini. Duh! Duniani kuna mambo
  5. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashabiki wa CCM wanataka vurugu zitokee Kenya

    Wahusika wakimtaka aliyepost issue wanampata, ila wasipomtaka hawampati
  6. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Hitilafu Gridi ya Taifa: Waziri Kalemani aamuru Meneja Uendeshaji wa Kidatu kuondolewa kazini kwa uzembe

    Mh, nina wasiwasi kama pendekezo lako linawezekana hasa kwa hizi nchi zetu. Karibu ulimwenguni kote serikali huhusika full ku invest kwenye sekta ya umeme, kwa sababu gharama za uzalishaji umeme ni kubwa mnooo, tena basi, jinsi tunavyochukulia poa maswala yanayohusu uzalishaji umeme sijui faida...
  7. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Kwa aina hii ya vijana wa CHADEMA ni ndoto kuiondoa CCM Madarakani

    Aisee, kazaliwa 83 lakini kaweza kuwepo 70's Urusi! kali hii
  8. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mhe Tundu Lissu akiwa hospitalini Nairobi, Kenya anakoendelea kupata matibabu

    Our God is great, glory is to our almighty
  9. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Rudi kwenye respond yako ya mwanzo usome tena uone kama sio conclusion
  10. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Binadamu sio wote waaminifu/wakweli, hasa wakipenda jambo lao liwe/liende kama watakavyo. Ndio maana nikakuuliza una uhakika? Mi ningekuwa nao ningekukanusha tu moja kwa moja, yaweza kuwa kweli au kusingiziwa, sina uhakika na ukweli wa tuhuma hiyo, wewe umewahukumu kwa hiyo usi base kwenye...
  11. Monyiaichi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Raila Odinga(NASA) ajitoa kugombea urais wa Kenya uliokuwa ufanyike 26 Oktoba, 2017

    CUF hawakushiriki unakumbuka? Shein kapeta 95%
  12. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    Una uhakika walihusika?
  13. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

    Wote hapo wanampongeza Zito na mimi pia naungana nao, hasa jinsi alivyotiririka imekaa vizuri. Sasa wewe Kubenea anatoka wapi? Katika watu wote huyo ndio umemshusha hivyo? Chuki sio nzuri hata ukiwa na sababu, yanayoongelewa hapa ni ya Zito na ninaona bora ingeishia Zito basi
  14. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Maswali matano muhimu kuhusu Rais Magufuli

    Swali tu, Hivi kiukweli watanzania wamewahi kuchagua rais wamtakaye? Kwanza nina wasiwasi kama kiujumla waliwahi kuwa na hilo chaguo sembuse kuchagua, mtanisamehe, mawazo yangu lakini
  15. Monyiaichi

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu, Mwandishi Makini Anavyomfahamu Lissu

    Hekima yako iko nyuma sio kwanza kama unavyojiita. Wewe uliyeguswa kuandika ya M.G si uandike! Kwa nini ulazimishe wengine waandike shiii
Back
Top Bottom