- Thread starter
- #41
Waulize waliovaa kwanini walivaa sare bila kuwa na uchaguzi mimi utanisumbua tu.Kulikua na uchaguzi Kenya?
Waulize waliovaa kwanini walivaa sare bila kuwa na uchaguzi mimi utanisumbua tu.Kulikua na uchaguzi Kenya?
Kuna siku ulishawahi kuniambia wewe ni CCM, nilivyokujua wewe na aliyepost habari ya kijinga nilimjua hivihivi.ndio mimi ni CCM ulishawahi kuona nimeandika au kuitakia vita kenya??
Ccm ya sasa kamwe haiwezi fanya hivo. Nyie ndo bado mnaendelea na siasa za kizamani za kimazabemazebe. Uchaguzi ujao mtaabika tunawarudisha majumbani nyote. Na hapo ndo tz tutakuwa tumevuka rasmi cold war.Ulimi huumba na kutamka yale yaliyojaa moyoni! Haya iambie cdm ni lini waliwahi kufanya au kusababisha vurugu na au kupanga vurugu?
Au unafikiri hatumjui meneja mpanga na muongoza kikosi cha vurugu huko ccm hadi mkampa na wizara ya nyumbani ili aweze kuwatumia policcm atakavyo? Hamyafanyii haya gizani na mnatamani muanzishe vurugu ili kuwaaminisha wananchi kuwa siasa za upinzani husababisha fujo na vita na mna kawaida ya kuwawekea video za maasi na vita kipindi cha kampeni! Wapinzani wapo gado wanawaona!
Ccm ya sasa kamwe haiwezi fanya hivo. Nyie ndo bado mnaendelea na siasa za kizamani za kimazabemazebe. Uchaguzi ujao mtaabika tunawarudisha majumbani nyote. Na hapo ndo tz tutakuwa tumevuka rasmi cold war.
Una macho huoni. Wakenya akili sana na ndo wako field we kaa tu kwenye key board utawaelewa baada ya 2025. Sijui hata habari hizo unatoa chanzo kipi. Odinga ndo baba na gwiji la siasa africa. Mtajifunza sana kwake japo kimyakimya.Baba yupi, au unasema Raila anayehamasisha vita vya ukabila nchini mwao, anayehamasisha wafuasi wake kususia huduma zinazotolewa na serikali ya Kenya, baba yupi au yule aliyeanzisha kikundi cha uasi NRM ku sabotage uchumi wa Kenya. Kama baba unayemsema ndiye huyo basi fahamu ndiye rafiki kipenzi cha mkulu wetu.
Tena ufanye haraka kumuulizaNi kweli aliyeyafanya ni mama yangu. Nitamuuliza!
Ndio maana kukawa na sheria za makosa ya kimtandao. Na ndio maana huwa nashangaa washiriki wa mitandaoni kuficha majina yao halisi na pia wenye mitandao kukataa kushirikiana na serikali katika kuwabaini watu wa namna hiyo!
Kama tutakubaliana kuwa huu ni uchonganishi na uwekaji rehani usalama na mahusiano ya nchi yetu na majirani, basi mzushi kama huyo ama aondolewe katika kushiriki kwenye mtandao huu au uzi wake huo uondolewe kwenye mtanda huu au kama serikali itamhitaji basi wenye mtandao huu wasimfiche!
Japo siku moja umeliwa 0713 na mwana CCM sio bure khaa!Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanaJF mwenzetu kumzushia kifo Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi Kenya IEBC bwana Wafula Chebukati, kitendo hicho si cha kiungwana, kiutu na kidiplomasia hata kidogo. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi sio mtu mdogo, hivi serikali ya Kenya na wananchi wa Kenya wakisikia kuwa Watanzania wamemzushia kifo kiongozi wao watatufikiriaje, kwamba tunataka vurugu zitokee ili tupate nini, hatuoni kwamba kitendo hicho ni cha kuongeza uhasama baina ya nchi yetu na Kenya.
Uchaguzi wa Kenya umeshaisha na mshindi kapatikana kama aliyeshinda hukumtaka lakini ni vyema kuheshimu maamuzi ya wakenya wenyewe hakuna haja ya kuwaombea mabaya.
Aliyezusha ni mwanaJF mwenzetu nitashangaa sana kama MODS wataendelea ku entertain vitu hatari kwa ustawi wa ujirani mwema kama hivi.
Kama ni utani na kuzushiana mambo ya kisiasa kama haya tufanyiane humu ndani lakini tusivuke mipaka.
Ni Ushauri tu.
Huwa sipendi ligi za matusi ila kama unataka ligi njoo na mmeo kabisa fala wewe.Japo siku moja umeliwa 0713 na mwana CCM sio bure khaa!
Nitafanya hivyo bwana mkubwa kwani najua vinginevyo, nitaishia MOI (siyo Nairob)! Ila usisahau kumjulisha na mama yako kwamba aje asaidiane naye kuniuguza majeraha! Na kabla ya hapo naomba wamiliki wa JF watukutanishe ili umfahamu mnyonge wako nami nikufahamu mbabe wangu! Au la nikutumie anuani yangi ili kama nitasahau kumuuliza mama yangu juu ya hayo unayotaka, basi uje umuulize mwenyewe!Tena ufanye haraka kumuuliza
Nyie CCM atakayewaua nani wakati nyinyi ni chama dola??Nitafanya hivyo bwana mkubwa kwani najua vinginevyo, nitaishia MOI (siyo Nairob)! Ila usisahau kumjulisha na mama yako kwamba aje asaidiane naye kuniuguza majeraha!
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanaJF mwenzetu kumzushia kifo Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi Kenya IEBC bwana Wafula Chebukati, kitendo hicho si cha kiungwana, kiutu na kidiplomasia hata kidogo. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi sio mtu mdogo, hivi serikali ya Kenya na wananchi wa Kenya wakisikia kuwa Watanzania wamemzushia kifo kiongozi wao watatufikiriaje, kwamba tunataka vurugu zitokee ili tupate nini, hatuoni kwamba kitendo hicho ni cha kuongeza uhasama baina ya nchi yetu na Kenya.
Uchaguzi wa Kenya umeshaisha na mshindi kapatikana kama aliyeshinda hukumtaka lakini ni vyema kuheshimu maamuzi ya wakenya wenyewe hakuna haja ya kuwaombea mabaya.
Aliyezusha ni mwanaJF mwenzetu nitashangaa sana kama MODS wataendelea ku entertain vitu hatari kwa ustawi wa ujirani mwema kama hivi.
Kama ni utani na kuzushiana mambo ya kisiasa kama haya tufanyiane humu ndani lakini tusivuke mipaka.
Ni Ushauri tu.
Kama unajua hivyo, uchokozi wa nini? Nilishawahi kukutukana? Haya rafiki, sina swali zaidi!Nyie CCM atakayewaua nani wakati nyinyi ni chama dola??
Kuna kitu cha ajabu duniani ambacho utakikosa CCM.Acha kuitajataja CCM kwenye mambo ya ajabuajabu
Angalia nmejiunga lini halaf ndo ulopoke humu wengi wana ID mbili ni rahisi sana kuchafua chama chochote hata ikiwemo ujifanya mtu ambaye sio mwanachama was chama husika, hakuna mwana CCM yeyote ambaye anataka vurugu zitokee nchi yeyoteKwa mfano unataka kutuambia [HASHTAG]#TataMadiba[/HASHTAG] ni CUF au [HASHTAG]#Mmawia[/HASHTAG] ni CCM mbona tunajuana labda kama umejiunga JF juzi.