Kwa aina hii ya vijana wa CHADEMA ni ndoto kuiondoa CCM Madarakani

Better the devil you know than the devil you don't, hakika mungu alituepusha na hili janga.
Hawa bado ni wachanga mno kuwakabidhi taifa.
Niliogopa sana siku nilipomsikia Sumaye akikili mwenyewe kuwa wapinzani hawana hazina ya viongozi wa kutosha na wenye uzoefu wa kuunda selikari.
Pili, Mh lissu alipodai kuwa waliamua kumpitisha Lowasa kutokana na kuwa maarufu sababu hicho ndio kilikuwa kigezo au kipaumbele muhimu kwa watanzania wakati huo.
Tatu, UKAWA kutaka kutumia katiba ya chadema kuunda selikari.
Mwisho ni Lowasa kushindwa kueleza ni wapi angetoa pesa ili kutoa elimu bure kwa watanzania,na amejipangaje kukabiliana na ufisadi nchini.
Kwa sasa hili limebaki kama genge la mbweha wanaogombea kuingia ndani ya zizi la mbuzi.
Aksante Mungu kwa kutuepusha na hili.
Usilishe watu maneno. Weka ushahidi hapa kama Lissu alisema sababu pekee ya kumpitisha Lowasa kugombea urais ni umaarufu wake! Usivyo na aibu unamshukuru Mungu kutuepusha na hilo unalolisema, lakini huoni kama nchi inatembea kwenye laana kutokana na upuuzi wenu! Hii damu mnayoimwaga itawagharimu sana!
 
Atake waondo ssm madarakani wali c chadema ni wao wenyewe ccm ndo watajiondoa wenyewe kwa matendo na mienendo yenu
 
Acha wafuate upepo tu ila wakumbuke viongoz wa Africa weng ni wasalit wanawambia raia andamaneni afu wao wanapanda ndege wAnasepa. Na harakat za kudai haki ni lazma uwe Makin na utumie akili ya kutosha siyo kukurupuka na kuanza kuropoka
 
Back
Top Bottom