Sasa kama wamekula kodi za watanzania wakashindwa kuifufua sasa wanataka kula na viten % vyetu vya mshahara labda itafufuka kwel tuwe na uvumilivu 55yrs tutaona watakuwa wapi
kwa hiyo unataka kusema wakati wachaga wanafanya kazi kwenye seminari makabila mengine walikuwa wapi? wasukuma walikuwa wakivua samaki? haihusu wachaga siku zote ni watu wakuona mbali
MIMI naomba nielezwe amani tunayosema iko tz ni ipi ? i ya kutekana na kupigwa na kutelekezwa porini 2. kuwekeana sumu au ni ipi jamani watanzania wenzangu? enyi watanzania nani kawaloga
kwanini ulimboka? wawafanyie basi na hao mafisadi papa wanaokula kodi zetu kwa manufaa yao wenyewe? Ulimboka ana kosa gani? au kwa tz cku hizi haki tunaenda kuidai mbinguni?maana kama una haki kwa ajili ya wengine unanyamazishwa tuelewe nini ? jamani tumwogopeni mungu tunakoelekee sasa si...
udhaifu wa rais ndo umetufanya tukafika hapa tulipo ..........nani asiye jua raisi ana udhaifu wa kuchekacheka hovyo na kufanya mambo kilegelege hana maamuzi mazito
Na hii ni kutokana na udhaifu wa rais ,BUNGE WABUNGE NA UPUUZI WA CCM.KAULI HII INAKAMILISHA KILA KITU HAKUNA HAJA YA KUENDELEA HATA HIVYO BAADA YA KAULI HII BUNGE LINGETAKIWA LIWE LIMEMALIZIKA MAANA HAKUNA WANACHOJADILI ZAIDI YA MALUMBANO.
huyo naye ni wale wale wa kitu kidogo hana lolote huyo kibonde tangu enzi za kampeni alikuwa anapiga vita sana upinzani huenda kapata hela kigodo kutoka kwa huyo mwenye uchungu wa kuvuliwa uwaziri pumbaavuuuuuuuuuuuu atakula jeuri yake sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.