Taja jina la mpigania haki yoyote aliyeuwawa katika mazingira yakutatanisha hapa tanzania.

Prof. Jwani mwaikusa
msomi muhimu kwa manufaa ya nchi yetu,tangu auawe katika mazingira tatanishi hakuna uchunguzi thabiti juu ya kifo chake,nahofia kwamba mwanasiasa ndo muhimu kuliko tabibu,Mungu wetu awe nasi maombi yetu yatimizwe
 
Omari juma kwa kusema: Ninanukuu ndugu zangu waislam tuache kwenda madrsa tusome na tujenge shule badala ya misikiti
 
Sheikh Hassan Takadir mpigania uhuru wa tanganyika,..Wapigania haki za watu mauwaji ya mwembe chai enz za mkapa..
 
yule mwongoza mgomo wa TRC aliyekufa asubuhi kwa shinikizo la damu akijiandaa kwenda kwenye mgomo-jina silikumbuki
 
Kwa majina ya K tu ndio nayataja,

Kabeho......Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kighoma.....Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kombe...Alikuwa Usalama wa Taifa
Kibona...Alikuwa waziri awamu ya Mwinyi
Kolimba...Alikuwa katibu mkuu wa CCM
Endelea sasa hapo

Gilman rutihinda, nadhani yule babu aliyezabwa kofi pale diamond J anajua kwanini.
 
Edward Moringe Sokoine 12-04-1984 alikuwa mwiba mkali kwa wahujumu uchumi enzi za mwalimu JKN
 
wewe umemsahau KOLIMBA??? ila kuna wengine wana roho ya paka kama MWAKYEMBE na ULIMBOKA hawa watu wabishi kweli mwakyembe anatoka ngozi layer kumi lakini bado yupo

mhhhuuu, huko mbeya naona kuna kitu, siyo bure. Kuna yule mwingine sasa hivi anattembelea mkongojo wa miguu minne na amebambikiwa uwaziri usio na portifolio. Naona watu wa mkoa huu wana roho saba.......
 
wewe umemsahau KOLIMBA??? ila kuna wengine wana roho ya paka kama MWAKYEMBE na ULIMBOKA hawa watu wabishi kweli mwakyembe anatoka ngozi layer kumi lakini bado yupo

sio kichekesho,,,ila umenifanya nisahau ngaa tatizo lililopo sasa
wee comedian asee
 
You guys will never know, Sokoine was Shot just after the accident which took his Car to slide away out of the Road, alikuwa Bodigadi wake anaitwa Kizota kama sijamsahau, gari ziliparurana tu lakini Benzi liliteleza nje ya Barabara, akatoka yeye kukimbia akikimbizwa na Kizota na kumpiga risasi kwa Nyuma, mashahidi ni Wakimbizi wa South Africa, na Dr alieshirikishwa na Serikali anakaa Karibu na Ikulu njia Ocean Road na yeye kupata ugonjwa wa akili baada ya hapo, kama hajafa mfuateni akiri kila kitu, Kizota sijui ndio yule mwenye Bar viwanja vya 77? Liwalo na Liwe
 
Msafiri mbwambo aliyekua mwenyekiti wa Chadema kata ya Usa River jijini Arusha, Huyu naye alichinjwa kama kuku bila hatia yoyote
Mwenyekiti-wa-Chadema.jpg
 
Back
Top Bottom