Recent content by Monkey D. Luffy

  1. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nataka niukomboe mzigo customs pale dhl nahitaji msaada
  2. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Kupenda kuchezea watoto wa watu kumemtokea puani

    Mbona hujibu PM?
  3. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Mi ninayo nikuuzie?
  4. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania nahitaji Sony xperia x mpya au good condition

    natafuta Sony xperia x mpya
  5. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Natafuta xperia x
  6. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji 4k tv inchi 43 hadi 55 iwe lg , samsung au sony, iwe mpya na warranty
  7. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji TV mpya ya TCL model namba 55P607 au 55S405 urgent
  8. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Warembo wa kiarabu wa Tabora

    ni m bro yako ikoblocked au nipatie namba yako
  9. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Kucheua kwa binadamu kuna athari yoyote kiafya?

    no there is a big misunderstanding hapa kucheua means chakula hakijafika tumboni so haiwezi kuwa baada ya nusu saa, hapo ni kutapika, vomiting which is NOT kawaida kwa mwili kuna risk kubwa kama electrolyte imbalace na dehydration sababu tumboni unapoteza acid na maji yanayotolewa na mwili...
  10. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Madaktari wote piteni hapo tusaidiane juu ya hii case.

    my colleague is correct her cycle is lengthening 40-60 days and most likely she isn't releasing ova she's premenopausal if not already in menopause Sent from My BlackBerry Passport
  11. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kutokuona kila ifikapo jioni

    nightblindess common in albinos and wale wasiopata vitamin a ya kutosha Sent from My BlackBerry Passport
  12. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Msaada:Mtoto wa dada yangu anakojoa damu,hospitali hawaoni ugonjwa.

    omba rufaa wampeleke bugando Sent from My BlackBerry Passport
  13. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Msaada:Mtoto wa dada yangu anakojoa damu,hospitali hawaoni ugonjwa.

    kuna sababu nyingi, kwanza wanatakiwa wapime mkojo waone ni damu katika form gani ni cell zenyewe au ni hemoglobin kama ni cell basi kuna sehemu kumekuwa damaged kama ni hemoglobin basi hio itakuwa inachujwa na Figo na inatoka ndani yaweza kuwa anahemolytic anaemia, another possibility ni kama...
  14. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Kwanini smart mkoani spidi inafluctuate mara nzuri mara mbaya

    huku mkoani hasa nikiwa nimesubscribe kwa unlimited ya Mwezi unakuta mara kadhaa kwa wiki spidi inakuwa 2g, ukipiga wanasema kuna tatizo ila saa sita usiku spidi lazima iwe nzuri sometimes mpaka siku kadhaa zinapita Sent from My BlackBerry Passport
  15. Monkey D. Luffy

    JamiiForums Tanzania Sitongozwi, nini tatizo?

Back
Top Bottom