Huenda ukawa unahoja nzito, Kusanya ushaidi peleka mahakamani halafu kesi iwe mubashara na tuliopo maporini tuifatilie kama Wao wanavofanya...Kulalamika bila kuwa na mkakati ni dalili ya kushindwa.
KAZI NZURI SANA..HONGERA KWA WATEULIWA, NAAMINI MLIFANYA KAZI NZURI SANA KWENYE MAENEO YENU NDO MAANA BADO MNAHITAJIKA KATIKA NAFASI ZENU SIDHANI KAMA KUNA ALIYEFANYA VIBAYA..MUENDE MKACHAPE KAZI.
NAHUHAKIKA 100% WEWE SIO MTANZANIA NA UNAIOMBEA VIBAYA TANZANIA KWA KIVULI CHA UZALENDO..PIA WEWE NI UNDER 35..NIMEKUFATILIA SANA NA UNAUDINI NDANI YAKE..HIYO NDO FINAL SUBMISSION YANGU..CHAWA WENGI HUMU WANAFAHAMIKA.
Aisee !. Kunaanza kufukuta. Naludia kusema tena CCM mnajimaliza wenyewe, na hiyo ni kwasababu, mmejifanya viburi kwa kufuata njia zenu mkaacha misingi iliyoasisiwa na Mtangulizi wenu...Mtakuja kustuka kumekucha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.