Recent content by money agenda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ya Mungu mengi

    nimecheka sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mlete mwanao hapa hutajuta kabisa

    Unamaanisha nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli hakuna Diwani anayenunuliwa ILA udiwani siyo dili tena " haulipi"

    Tutasikia mengi awamu hii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nassari na Lema, mmeukabidhi ushahidi wenu TAKUKURU?

    Ni kweli wanapaswa kuupeleka ushahidi huo kwa taasisi husika, swala la either umefanyiwa kazi ama vinginevyo ni agenda nyingine.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Serikali wampe Joshua Nassari ulinzi maalum

    Kakosea kuitaja hadharani mbinu ya kiinteligensia aliyoitumia, badala yake angeifanya kuwa siri kwa ajili ya muendelezo wa kuwaumbua viongozi watoa/wala rushwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wengi wanajutia maamuzi waliyofanya 2015

    Sitawaangusha!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mlete mwanao hapa hutajuta kabisa

    Hiyo ada ni kwa wote boarding na day?
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Hata ktk masomo yake chuoni saut alikuwa ni miongoni mwa wanachuo waliokua wakiongoza kwa kuropoka pumba muda wote!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Obama atokwa na machozi alipomfikisha mwanawe chuo kikuu cha Harvard

    Mkuu naona umeamua kbs kuwaharishia!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mtuonee huruma sisi wanamume

    Haujasikiliza upande wa Monica lkn, huenda nae analo la kusimulia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu

    Uko sahihi kbs
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wanataka Diamond aanguke?

    Mkuu hoja yako inamashiko, tena ya kizalendo!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wanataka Diamond aanguke?

    Mkuu hii hangover yako imeongea ukweli mtupu, wanaomponda na kumchukia huyu dogo hawana sababu ya msingi nje ya wivu, roho mbaya na kuchukia namna alivyofanikiwa, watanzania wengi ndivyo walivyo....wanapenda wote muishi kama mashetani ndio furaha yao!
Back
Top Bottom