Ilitarakimura
JF-Expert Member
- Feb 7, 2016
- 2,506
- 1,628
Na wewe sifa zako ni za kujipendekezaDc wangu Mnyeti leo nimekifunza kuwa chadema ni wababaishaji, waongo manafiki wasiofaa duniani na mbinguni, wanatupotezea musa waacheni wakafie mbele
Na wewe sifa zako ni za kujipendekezaDc wangu Mnyeti leo nimekifunza kuwa chadema ni wababaishaji, waongo manafiki wasiofaa duniani na mbinguni, wanatupotezea musa waacheni wakafie mbele
Kumbe huyu Bw mdogo alisoma Tegeta high karibu na kituo cha polisi?Mnyeti ni kijana mmoja wa ovyo sana,wao na Gambo kuna wakati walitaka mpaka kupigana sbb kila mmoja anataka kuonekana kwa Sizonje
Huyu Mnyeti sifa zatamuua,toka akiwa shule ya Wazazi wa CCM ya Tegeta,anafahamika kwa unafiki wake na kujipendekeza,watoto wa Arusha wamemuumbua anabaki kusema alitoa michango ya harusi,yaani clip yote ye anajibu hapo tu tena kwa majibu mepesi hivyo?Hovyo kweli kweli
Halafu mikutano ya kikazi vyumbani.Kwa hiyo kwenye video ya Nassari kuna hiyo ya Michango ya Harusi tu??
Husishangae kesho atakapojibu hayo mengine yalikiwa ya 2008, kama baadhi ya "viwavi jeshi wa kijani" wanavyotetea.DC hapo kashikwa nyeti haswaa, anaongelea mchango wa harusi tu hayo mengine mbona hajayajibu?
Umefurah sana naonaShubaaaaaaaaaaamitt!
Asante kwa taarifa mkuu.
Mkuu mtu mpumbavu ni mpumbavu tuMnyeti ni kijana mmoja wa ovyo sana,wao na Gambo kuna wakati walitaka mpaka kupigana sbb kila mmoja anataka kuonekana kwa Sizonje
Huyu Mnyeti sifa zatamuua,toka akiwa shule ya Wazazi wa CCM ya Tegeta,anafahamika kwa unafiki wake na kujipendekeza,watoto wa Arusha wamemuumbua anabaki kusema alitoa michango ya harusi,yaani clip yote ye anajibu hapo tu tena kwa majibu mepesi hivyo?Hovyo kweli kweli
KapanikiMmmm mbona faster sana kabla hata hajafanya mchanganuo na upembuzi wa ushahidi yeye tayari ameshajibu kana kwamba akukuwa anajua!
Nadhani umesahau mkuu kipindi ch Bunge la bajeti,kun hoja ziliibuliwa kwamba " Kwa wale wote wanaoipinga bajeti,wasipelekewe pesa za miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao"Wapinzani hawapelekewi maendeleo kwa makusudi ili wapate kusingizia kuwa upinzani ni kukuza kero kwa wananchi, kodi hulipwa na watanzania wote pasipo kuangalia uanachama, cha ajabu kwenye maendeleo ccm huleta Ubaguzi
Uzuri wa wasioonekana huumbuana kwa maneno yao wenyeweWale waliokuwa wameshikilia hoja kuwa hii video ni ya 2008 sasa DC (mtuhumiwa mwenyewe) kawaumbia.
Hata ktk masomo yake chuoni saut alikuwa ni miongoni mwa wanachuo waliokua wakiongoza kwa kuropoka pumba muda wote!Mnyeti ni kijana mmoja wa ovyo sana,wao na Gambo kuna wakati walitaka mpaka kupigana sbb kila mmoja anataka kuonekana kwa Sizonje
Huyu Mnyeti sifa zatamuua,toka akiwa shule ya Wazazi wa CCM ya Tegeta,anafahamika kwa unafiki wake na kujipendekeza,watoto wa Arusha wamemuumbua anabaki kusema alitoa michango ya harusi,yaani clip yote ye anajibu hapo tu tena kwa majibu mepesi hivyo?Hovyo kweli kweli
Unajiona umeandiiiiiiikawanapo hama vyama vyenu msiwafatiliefatilie mbna lowasa alipoingia na kugombea uraisi ndani ya wiki moja mbona hamkumfatlia mbowe, ya madiwani yanamacho ya mwenyekiti wenu hayana macho ,anayempinga lowasa anyoshe mkono daah hapo ndoo nilichoka, anayemkubali anyooshe mkono duuh , mjitafakar wenyewe wanaoacha wameacha kwa matakwa yao wenyewe haipo sababu yakuwafatilia acheni usultani
Rais Nixon aliweka tapes kwenye ofisi yake na kwenye ukumbi wa Watergate, ilipojajulikana iksbidi awe impeached akaacha kazi. Hizi tape ziliwekwa na nsni kwa ruhusa ya nani? Mkuu wa Wilaya hutembelewa na Rais na viongozi wengi nyeti kwa vile ni Mwenyekiti wa Kamati ys Ulinzi na Usalama; hivyo lazima kuna siri nyingi za nchi hii zimepelekwa Kenya na kwingineko. Lema na Nassari washitakiwe kwa ujasusi na kwa uhaini.DC ARUMERU MHE. MNYETI AJIBU MAPIGO YA NASSARI NA LEMA Dc Mnyeti: "
Video zote anazosambaza Nassari ni za mikutano yangu nikiwa Kwenye shughuli za maendeleo za Wilaya,anababaisha wasiojitambua"
DC ARUMERU: "Video zote anazosambaza Nassari ni za mikutano yangu nikiwa Kwenye shughuli za maendeleo za Wilaya,upinzani huu umekosa dira"
DC MNYETI: "Nilimchangia mchango wa harusi diwani aliyehamia ccm kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi waliopo CDM akiwemo Nassari"
DC MNYETI ARUMERU: "Nassari aweke pia video ambazo tumekaa nae akinieleza matatizo ya jimboni kwake."
DC ARUMERU: "Watumishi kumchangia harusi Diwani ndiyo rushwa wanayosema Chadema.Ila nilipoombwa kuchangia matibabu ya Lissu haikuwa rushwa"
Credit: DarMpya