Wengi wanajutia maamuzi waliyofanya 2015

Muulize Mbowe, kijiwe chetu cha ngada billicana hakipo now days, hatari mjomba.
Kwa hiyo kubomoa bilcanas ni mafanikio kwako..Kama umesoma basi hapo ndo nnapojua elimu ya ccm ni sifuri. Kama umeishia la saba kama bashite sikulaumu mana mawazo yenu yanafanana
 
Vijana afya kwa Sasa zinaimarika, hawavuti ngada, hawapoli hovyo, wanafanyakazi ya kujenga taifa, Kifupi tumeokoa nguvu kazi kubwa.

Afterall we unaelimu ya kiwango gani?
Mbona haikusaidii, kutwa kuchwa unalalamika tu, ubunifu zero.
 
Wengi mnajutia kumpangisha mfale kwenye lile jengo jeupe lenye ukumbi wa mikutano karibu na soko la samaki
 
Sasahivi wengi wanasema hawatapiga kura..ndo tatizo la watz
 
Wez,mafisad wala rushwa, waliozea kuhongwa,,mataper ,majambaz,mtaisoma namba,nasema ckuja kutafuta mchumba
 
Wengi niliozungumza nao hasa wa chama cha kijani wanajutia sana uamuzi walioufanya 2015 na wanaapa kutofanya makosa 2020. Sitaki kuwalaumu kutokana na presha iliyokuwepo uchaguzi uliopita lakini pia hili ni fundisho tosha kuwa chama cha kijani ni kile kile na tusitegemee mabadiliko. Kama wameweza kuongoza kwa zaidi ya miaka 55 lakini bado tuna changamoto lukuki nadhani ni muda muafaka wa kuwakabidhi nchi wengine waje na fikra mpya za maendeleo.

Sitaki kusema kwamba hao watakaokabidhiwa nna uhakika wa 100% kwamba watatuvusha lakini naamini watajitahidi kutupeleka kwenye njia tunayoitegemea (80%) ili chaguzi zinazofwata waweze kukabidhiwa tena nchi.

Watanzania wenzangu tusifanye makosa 2020.
Acha waisome namba
 
Wakulaumiwa ni waliompokea Lowasa,hakukuwa na altenative B.
 
2020 NI WALE WALE KWANI WAMEWEKWA NA MFUMO PINDI MFUMO UNAPOFELI JECHA'S LAW WILL BE APULAID.
 
Nadhani siku zinavyozidi kwenda tunazidi kuelewana zaidi kuhusu uchaguzi wa 2015. Tusifanye makosa 2020
 
Back
Top Bottom