Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu

Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu

Hapa nafikiri ujaribu kuwa specific mkuu.

Hizi hela unazosema wewe ni hela zipi hasa???

Maana inawezekana wewe ukawa unajiona una hela kumbe hauna hata investment yoyote.

Kuna watu wanatumia MILIONI 10 cku katika matumizi ya kawaida na kuna wengine Net income yao haifiki MILIONI 10 hata kwa miezi 6.

Sasa wewe unaongelea hela za aina Gani??
Pesa ya kuweza kujimudu na kumudu familia yako kwa ufasaha, pasipo mashaka yoyote,
 
Machine ikigoma babuu hata hizo pesa hutaona raha yake.
Yaani akitokea mtu akakwambia unachagua nini kati ya pesa na Machine utachagua machine
acheni kudanganyana,atakama mashine haisimami kabisa kama una hela,unaweza kwenda kufanyiwa matibabu hata nje za nchi mashine ikasimama vizuri kabisa ila kama huna hela mzee atakama mashine inasimamaga utashangaa imegoma kutokana na stress..kiufupi pesa ndo kila kitu
 
Kimsingi hela uleta heshima...
Dah ni fedhea sana kwa mwanamme kukosa pesa mana unaweza hata kusahau jinsia uliyonayo....
Sasa unakuta mwanaume...
Hana pesa, hana akili, hana elimu, hana kipaji chochote mile zaid ya kubet,...
Utaomba ufe ukamsalimie baba wa taifa
 
We we wee maradhi ya machine hayatibiki kirahisi babu lazma utakua na kasoro
 
hakuna vitu viwili naviogopa kama .
nyege na kukosa pesa.

hakuna kitu kinauma kama kuwa na mpz alafu ana shida na ww pesa hakuna alafu kuna panzi wenye mkwanja wao wanamnyemelea yaani amani hakuna kabisa.

ila bora ukose hela ila uwezo wa kugegeda uwe nao.
 
Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu.

Mimi sijui kwa wengine, lakini kuishi duniani kwa mwanaume bila hela hata upendwe vipi na mwanamke mwenye pesa, kuna mateso ya kiume lazima uyapate. Unless kama huna ego ya mwanaume. Lakini kama ni mwanaume kabisa.....na unaishi na mke, au girlfriend anakulisha ...kuna maumivu makali sana. Mara kumi uwe peke yako.

Una mke na watoto halafu , huna hela?
Utaisoma namba.

Wale wanaosema mwanaume mashine halafu huna hela hawajaelewa mchezo hapa. Hawajui maumivu ya kulelewa hawa.

Jambo wasilo lifahamu ni kwamba wengi wanaona mwanamke ni kiumbe mwaminifu asiyeteteleka.

Hakuna mwanamke mwaminifu kama watoto wake awapendao hawana ada ya shule, wagonjwa na wapo hatarini kupoteza maisha na hakuna dawa, wanalala njaa wala hakuna kodi ya nyumba.

Au mwanamke ana deni linalomnyima usingizi halafu wewe unakuja na kusema mwanaume mashine.

Mwanaume mashine??? Halafu huna hela wewe unajipenda kweli????

Wanawake wenzake wanamcheka na haoni matumaini yoyote ya kutatua tatizo lake halafu wewe unaleta umashine wako.
Are you serious wewe???

Tafuta hela. Hiyo ya mashine unaweza ukatatua kwa njia mbadala. Tafuta hela.

Sikia nikuambie kuna pointi ambayo mwanamke huvumilia na kusema basi. Mwanamke anaweza kutafuta yeyote hata kama ana sura ya nyani asaidie wanae

Ukiwa mwanaume tafuta hela. Ukiamka asubuhi tafuta hela. Ukiwa usiku tafuta hela. Usidanganyike na mashine, hizo ni maneno tu.

Simama uonyeshe uwepo wako. Kama unaona huwezi kaa pembeni. Pambana.

Mara kumi usioe kama huwezi hata kujilea mwenyewe

Eti unajaza vifua. Ee???

Kama huna hela dunia utaiona chungu.

Ukikutana na mwanaume ambaye hana hela na anaishi kwa mgongo wa mwanamke comfortable kabisa na wala hatafuti njia ya kutokea....ndugu yangu huyo mwanaume anaumwa.
Ture mkuu umenena kweli pesa sabuni yaroho maishahaya unaleta mashine bilahela lazima usome namba
 
pesa ndio mtatuzi mkuu wa maisha yetu ya kula siku,ingawa sio mara zote....kwenye kuamua masuala yanayotuhusu kifamilia...
 
Thread hii ni makini kwa wanaume makini. Safi sana! Tusake pesa tu ila wanawake sometimes wapumbavu sana unaweza umpe mashine Na hela bado tu akachepuka!!!
 
dd905220d2ec414d4b407ed81a53c84d.jpg
Hakunarangi utaacha ona[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Maisha ya mwanaume duniani bila hela ni sawa na jehanamu.

Mimi sijui kwa wengine, lakini kuishi duniani kwa mwanaume bila hela hata upendwe vipi na mwanamke mwenye pesa, kuna mateso ya kiume lazima uyapate. Unless kama huna ego ya mwanaume. Lakini kama ni mwanaume kabisa.....na unaishi na mke, au girlfriend anakulisha ...kuna maumivu makali sana. Mara kumi uwe peke yako.

Una mke na watoto halafu , huna hela?
Utaisoma namba.

Wale wanaosema mwanaume mashine halafu huna hela hawajaelewa mchezo hapa. Hawajui maumivu ya kulelewa hawa.

Jambo wasilo lifahamu ni kwamba wengi wanaona mwanamke ni kiumbe mwaminifu asiyeteteleka.

Hakuna mwanamke mwaminifu kama watoto wake awapendao hawana ada ya shule, wagonjwa na wapo hatarini kupoteza maisha na hakuna dawa, wanalala njaa wala hakuna kodi ya nyumba.

Au mwanamke ana deni linalomnyima usingizi halafu wewe unakuja na kusema mwanaume mashine.

Mwanaume mashine??? Halafu huna hela wewe unajipenda kweli????

Wanawake wenzake wanamcheka na haoni matumaini yoyote ya kutatua tatizo lake halafu wewe unaleta umashine wako.
Are you serious wewe???

Tafuta hela. Hiyo ya mashine unaweza ukatatua kwa njia mbadala. Tafuta hela.

Sikia nikuambie kuna pointi ambayo mwanamke huvumilia na kusema basi. Mwanamke anaweza kutafuta yeyote hata kama ana sura ya nyani asaidie wanae

Ukiwa mwanaume tafuta hela. Ukiamka asubuhi tafuta hela. Ukiwa usiku tafuta hela. Usidanganyike na mashine, hizo ni maneno tu.

Simama uonyeshe uwepo wako. Kama unaona huwezi kaa pembeni. Pambana.

Mara kumi usioe kama huwezi hata kujilea mwenyewe

Eti unajaza vifua. Ee???

Kama huna hela dunia utaiona chungu.

Ukikutana na mwanaume ambaye hana hela na anaishi kwa mgongo wa mwanamke comfortable kabisa na wala hatafuti njia ya kutokea....ndugu yangu huyo mwanaume anaumwa.
Unanikumbusha wimbo wa FEROUZ boss....kiukweli maisha yanahitaji pesa
 
Aisee pesa muhimu sana kwa mwanaume kama vile mashine kufanya kazi ni muhimu sana kwa mwanaume. Hivyo vitu viwili ni vya lazima kwa mwanaume. Ukiwa na pesa huku mashine imelala usingizi wa pono haifanyi kazi ni mateso makali sana ya kisaikolojia labda kama una hisia za Sir Elton John na Sam Smith au za James Delicious au Kaoge au Jimmy Chocolate. Ni mateso makali sana kuwa na upanga usioweza kukata hata tunda la tufaa (apple).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiwa Mwanaume alafu hauna ela kimsingi inabidi unywe sumu tu..Hakuna namna..

Hata Mungu atakusamehe huko uendako kwasababu na yeye ni mwanaume kwa namna tunavyomtamka kwa kiingereza..
Chunga maneno yako kaka,usikufuru..uhai wa mtu haulinganishwi na chochote
 
Na mzitafute tu, msitake kupewa na wanawake
Adam alipewa tu tunda akaishia kufukuzwa, ukipewa na mwanamke subiri na kufukuzwa
 
ni ukweli kabisa mkuu 100% true,

"you are speaking from experience"
 
Kimsingi hela uleta heshima...
Dah ni fedhea sana kwa mwanamme kukosa pesa mana unaweza hata kusahau jinsia uliyonayo....
Sasa unakuta mwanaume...
Hana pesa, hana akili, hana elimu, hana kipaji chochote mile zaid ya kubet,...
Utaomba ufe ukamsalimie baba wa taifa
😀😀😀
 
Back
Top Bottom