Recent content by mollyo

  1. M

    Mapenzi gani haya?

    kwani shule zimefungwa?
  2. M

    Hivi ndio vigezo vya mke ninayemtaka

    nenda hosp yoyote ya rufaa ukasubirie atakaezaliwa ukamlee wewe afu akishakua umuoe huyo ndo atakuwa na vigezo unavyotaka
  3. M

    Umewahi kuishi na watu wa aina hii?

    mm i like hyo life style coz wabongo watapenda wakufatilie kila unachofanya hadi unapolala watataka wapajue........but ukiwa busy na yako no body will bother you
  4. M

    Hivi ndio kipindi cha uchumba kinavyokuwa? Au choo nilichoingia sicho?

    kamata zako 50 mama jianzie maisha mapya mwanaume anaekupenda hawez kukulimit na hata kama akiwa busy atatenga muda kwa ajili yako........jiongeze
  5. M

    Mrejesho: Yale ya nyama choma yote wife kashtukia

    mbona mada ya mwanzo haindani na mrejesho??? likizo tyme bhana shida tupu,,,,,
  6. M

    Mambo ya kufanya ili usimchoke mke wako

    utabaki hivo hivo na maneno yako cku utakula visivoliwa ndo utakuwa mwisho wako
  7. M

    Dada zangu mnanikera sana

    ukiona hivo ujue domo zege.....ungekuwa na sweet words angepayuka?? jipangee
  8. M

    Asante JF sasa kila sehemu nikipita lazma ning'ang'aniwe

    kwahyo ulikuwa jf tangu 2011 na ulichotoka nacho ni huo uzinzi?? pole xana
  9. M

    Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    its true mtoa mada
  10. M

    Binti matata asababisha maamuzi magumu

    hadi watu wapangiwe vyuo jf tutapumzika
  11. M

    Mke wangu amepata zero kwenye interview, ananilaumu

    wewe nae ni kilaza mwenzie!! we kama unamfahau mkeo ni mbululu ulitakiwa umpe desa alimeze akifika kwenye interview akateme tuu,,,, ona sasa unanyimwa utamu shaur yakoj
  12. M

    "Kipele G" kimenisaidia kuimarisha mahusiano yangu

    yani fb ni full shangwe...
  13. M

    Nilitaka kumuoa alikataa, anaomba kuja kuishi kwangu

    mhh!! jiongezeee!! kwahyo huyo dada akija kwako unamwambia mkeo kuwa ni nani?? linda ndoa yako hayo ni majaribu ya dunia!
  14. M

    Tukiwa outing anageuka bubu

    jaribu kuwa mbunifu kaka we vip eti escrow kwahyo hyo dating yenu mnaendaga bungeni au?? kuna mambo mengi ya kujadili esp yanayohusu mahusiano yenu sasa hayo mambo tena ya maiwedha duu!! huenda anakushangaa kulingana na topics zako ndo mana anaamua kukaa kimya!!
Back
Top Bottom