Mapenzi gani haya?

Mapenzi gani haya?

Ndugu zngu wana-JF poleni na majukumu na mihangaiko ya kila uchao!.
KISA:
Naombeni ushaur wenu kwani kuna binti nilkutana naye kwny usafir tukakubaliana na kuingia kweny uhusiano baada ya kunitengenezea mazngira ya kuwa nae yy mwenyewe.Ila cha kushangaza alinambia ananpenda sana lkn mpka sasa ana bwna mwngne ambaye ni MKAGUZI WA HESABU wa jijini fulani huwa yuko busy sana.Je,kwa hali hiyo kuna mapenzi apo kweli???Tushauriane!!!

Mkuu,unauliza rangi ya mkaa???.
 
no person,is single you either snatch him or her from some one or to share with him or her with some one. The most important thing to be highest share holder
 
Unasubiri nini??? Achana nae
Kwahiyo umekutana nae kwenye Gari then unategemea yupo single au vipi,,,nawewe ulikuwa hauna MTU KBS ,,,vumilia komaa nawewe ili amuache huyo mkaguzi Mkuu Wa mahesabu jijini
 
Mkuu mapezni sio pesa, ila mimi nahisi wewe unaweza jibu vizuri zaidi kuwa kuna mapenzi au laa sababu umekua nae na uko nae hivyo ni kumchunguza tu kwa makini kabla ya kuzama.
 
We jipigie ulale mbele..yani unataka demu wa peke yako mwenyewe,labda umuumbe?
 
Ni kweli anakupenda ila huna hela. We unadhani mahitaji yake ya msingi atayapata wapi?. Lazima awe na mtu anaempa mahitaji, pia awe na wewe anayekupenda kwa dhati. Na kama humsugui vizuri atatafuta mtu wa kumsugua vizuri. Na kama hauko kimauzo atatafuta wa kuuza nae sura.

Hayo ndo maisha yetu wabongo. Demu hata umtoe bikra siku utamegewa tu. Maisha yamekua magumu. wanawake wanapenda kupendeza na wewe mtonyo huna. Unadhani atafanyaje?.
Ushauri wangu focus sana kwenye. Mipango yako. Ikikaa sawa watajipanga wenyewe foleni.

Lakini kwa sasa you have long journey!!!!.
 
Piga mzigo, kisha kawaloge wote wawili, uwe unachukua pesa tu.
 
Back
Top Bottom