Umewahi kuishi na watu wa aina hii?

Umewahi kuishi na watu wa aina hii?

Mambo ya kufuatana fuatana ndio mwanzo wa umbea.....

Ukiwa na shida akusaidie...akiwa nayo umsaidie. Inatosha
 
mm i like hyo life style coz wabongo watapenda wakufatilie kila unachofanya hadi unapolala watataka wapajue........but ukiwa busy na yako no body will bother you
 
Maisha ya kujuana kiundani sio kabisa, hayo ni maisha safi sana, salamu inatosha mambo ya kujuana inahuuu!!!!!
 
Back
Top Bottom