Recent content by mollel16

  1. M

    JamiiForums Tanzania Diamond afunguka kiroho mbaya kinachomfanya ampende Zari

    Lete buldoza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Hali ya usafiri imerejea.. Tatizo ni kwa wale waliotumiwa nauli,kwa safar za mkoani natumai kufika usiku wa manane gharama za chakula na malazi zitawahusu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Mabasi zinazoongoza kwa mwendo wa kistaarabu na kujali abiria...

    Kilimandjaro Dar-Arusha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maana nyingine ya TBT

    Mitandao
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro hatarini

    Nina shaka na maelezo yako.. Kuhusu pombe kila mkoa now vijana wameharibikiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za Etoil Du Sahel

    Unafiki siyo kwa simba hao ndala ndio walianzisha huo mchezo. Kwa mfano tuu hao ndala walivaa jezi za mazembe huku wakimvalisha katumbi jez ya yanga
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ni pasua kichwa, ila siivunji hii ndoa. Nipeni mchango wa mawazo jamani

    Wazo lako la kutovunja ndoa ndio sahihi
  8. M

    JamiiForums Tanzania VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

    Mkubwa na mwanae
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    Ndio ukubwa huo jaribu kutumia busara tuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu, Tafadhali kama ni mwanamke usifungue huu uzi

    Wanawake huwa wanaumia sana pale wanapokosa mda wa kuwa na wenzi wao na huenda kuna tatizo limejificha ndio maana kakupiga mkwara ili ujirudi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatazo la umri katika uhusiano? Hasa mwanamke akiwa mkubwa?

    Hakuna tatizo kikubwa ni upendo..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nikipata goli moja tu nachoka, tatizo mpenzi wangu

    Unapaswa kujua hakuna wa tofaiti na yeye, Punguza rukaruka usidanganywe na uliowaonjaonja ujui walikutegea kitu gani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu (mwanamke) anakunywa sana pombe

    Ukipenda boga penda na ua lake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Condom zinaumiza?

    Kaka anataka akulambishe huyo..sukari guru
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Agness Masogange kutokea mtandao wa Media take out

    MH msijekusema tuu anaitangaza Tanzania
Back
Top Bottom