Ushauri: Mchumba wangu (mwanamke) anakunywa sana pombe

kama haunyi pombe. achana nae.

"msilewe kwa mvinyo, maana ndani ya mvinyo kuna uasherati, ukorofi, ufisadi, uzinzi etc
 
na wewe si uanze kunywa tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu muwe walevi wawili....:smile-big:
 
pole weee kazi unayo kwakweli nakuonea macho kama si huruma! kuna bishost mumewe ni mlevi kupindukia analia kila kukicha! ikibidi mbadilishane tu! all in all pole sana
 
Wadau habari ya wakati huu,wana JF wenzangu napenda ushauri wenu juu ya hili,

Nina mchumba ambaye tuko nae katika mahusiano kwa muda sasa, tumeshapanga mengi, kilichobaki ni taratibu za kuishi pamoja.Tatizo la huyu mtu wangu (Mwanamke) ni matumizi ya pombe.

Anakunywa sana pombe, na nimemkataza akasema hatarudia lakini karudia tena, ukizingatia mimi situmii pombe na hata nyumbani kwetu wakijua kuwa anakunywa pombe hawataafiki na ninampenda sana zaidi ya sana.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyeje na hii hali naichukia sana.

Asanteni

Kwanza naomba simama wewe kama wewe habari ya nyumbani hawataafiki iweke likizo kisha tuendelee..
Kwa mtazamo chanya kunywa pombe sio tatizo..tatizo huwa ni pale mtu anapokunywa pombe akafanya vitu ambavyo tutasema alikuwa "under influence" ya hiyo pombe..labda ungeainisha kwa nini hupendi anywe ndo tungeona tatizo lako lina mashiko kiasi gani.

Anyway kama kweli unampenda sana basi we muoe tu. Sisi wakristo tulifundishwa na Bwana Wetu Yesu Kristo kuwa yatubidi tubebe misalaba yetu kila siku. Basi huyo mkeo ndo atakuwa msalaba wako na you never know..it may be a blessing in disguise
 
Of course, she might be, but who knows? I sometimes think beyond such behaviour and conclude that lazima nimpende kwa kumbadilisha nimbadilishe
 
Kaka nimeipenda hiyo, unawwza kunipa Kifungu chake kinapatikana kwenye Mlango gani wa Biblia?

waefeso 5:18, Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi;..

pombe inaondoa uwezo wa mtu kufanya maamuzi sahihi hivyo ni kichaka cha maovu kibao ambayo kwa ujumla yameitwa ufisadi.
mithali 23:33 "you mind will confuse things"
mithali 20:1 huleta ugomvi
mwanzo 19:30-38 pombe ilitumika kumfanya rutu afanye mapenzi na watoto wake wa kike.

unapoamua kufanya maamuzi lazima uhesabu gharama na matokeo ya maamuzi mdau.

Wadau habari ya wakati huu,wana JF wenzangu napenda ushauri wenu juu ya hili,

Nina mchumba ambaye tuko nae katika mahusiano kwa muda sasa, tumeshapanga mengi, kilichobaki ni taratibu za kuishi pamoja.Tatizo la huyu mtu wangu (Mwanamke) ni matumizi ya pombe.

Anakunywa sana pombe, na nimemkataza akasema hatarudia lakini karudia tena, ukizingatia mimi situmii pombe na hata nyumbani kwetu wakijua kuwa anakunywa pombe hawataafiki na ninampenda sana zaidi ya sana.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyeje na hii hali naichukia sana.

Asanteni

Kama unampenda kweli na una malengo naye pombe cyo tatizo ndugu
 
Wadau habari ya wakati huu,wana JF wenzangu napenda ushauri wenu juu ya hili,

Nina mchumba ambaye tuko nae katika mahusiano kwa muda sasa, tumeshapanga mengi, kilichobaki ni taratibu za kuishi pamoja.Tatizo la huyu mtu wangu (Mwanamke) ni matumizi ya pombe.

Anakunywa sana pombe, na nimemkataza akasema hatarudia lakini karudia tena, ukizingatia mimi situmii pombe na hata nyumbani kwetu wakijua kuwa anakunywa pombe hawataafiki na ninampenda sana zaidi ya sana.

Naombeni ushauri ndugu zangu nifanyeje na hii hali naichukia sana.

Asanteni

Muache leo leo tena ni ngumu mtu asiyekunywa tena mwanaume kuishi na mtu anaye kunywa tena mwanamke! Muache mapema humuwezi huyo..
 
kama haimuathiri wala kumfanya aonekane kituko sioni kama ni shida...tatzo ww haunywi ndio maana unaleta shida...na hivi unaongozwa na familia yenu....eti watanionaje kwani anaenda kukaa kwao?kiruuuuuuuu

Mtu amesha kwambia ana kunywa sana halafu unaongelea kutomuathiri?
 
kama haimuathiri wala kumfanya aonekane kituko sioni kama ni shida...tatzo ww haunywi ndio maana unaleta shida...na hivi unaongozwa na familia yenu....eti watanionaje kwani anaenda kukaa kwao?kiruuuuuuuu

Ilo ni tatizo sana Kwa vijana wa kiafrika,anafuata family decision dah,shida sana
 
miss chagga mwanamke anaekunywa pombe ni imani kwangu kuwa hawezi kuwa mama mzuri, halafu kama mimk mumewe sinywi kwa nini yeye anywe?

Haaaaaa kaka kuna wengine wanavuta sigara hatare,sasa kama ukipata mvuta sigara naye itakuwaje ndugu???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom