Recent content by molephe

  1. molephe

    Dear nyerere

    Marais wa makampuni mbalimbali. President and CEO ...... company Ltd
  2. molephe

    Makabila mengine bwana!! Chukua hiyo

    Dharau, Havintishi
  3. molephe

    Lo! Tit for tat.

    Hapo ndio ninapowapenda wanaume, ikifikia kwenye hiyo makitu yaani maelewano 0.
  4. molephe

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Really
  5. molephe

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Wapo, wakinga kule Makete wana milioni 300 hadi 500 bank, wnashindana tu nani ana hela!
  6. molephe

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    Nakubaliana na wewe kuhusu huyu muulizaji. Kwasababu kama ni wapenzi na dada hajaona issue mpaka sasa kaka anataka kuoa. Wasiwasi wa elimu umetoka wapi? In real life ni ngumu, lakini mapenzi ni cha kwanza. Ni dada ambaye ana degree mumewe ni STD 7 na wapo poa kabisa. Utofauti unauona lakini...
  7. molephe

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    32 bado kabisa. Angekuwa 40 sawa. English impandishe chati kwa nani. Wabongo lugha yetu ni kiswahili bana.
  8. molephe

    Ndoa ya mama PHD na baba standard seven

    The woman is a MONSTER!!!
  9. molephe

    Mume anapotaja jina la mwengine kitandani

    Anajutia kosa. Unajua, sisi ni binadamu, hili suala hakuna mwanamke asiyejua wanaume wenzetu udhaifu wanao, na siku hizi wanawake pia. Cha msingi akutunzie heshima, ametunza heshima yako lakini bahati mbaya inmetokea, alikuwa mdogo, na zawadi akaleta, samehe, maisha yaende mbele. Jamani tusijipe...
  10. molephe

    naomba ushauri

    Cute junior, ndoa ni ndoa, asikudanganye mtu, kufung ndoa ni kubariki upendo wenu unaousisha tendo la ndoa. Ndoa inaweza tenganishwa kama matatizo ya kimwili hayatovumilika kwa mwanandoa mmoja wapo. So kujaribu sio lazima. Mambo yakiwa sio mtajua na mwenzio cha kufanya. Ukimpa mtu, nakupa mwezi...
  11. molephe

    Peter Msechu aibuka mshindi wa pili Tusker Project Fame

    CKABULA, nakubaliana na wewe. Watz tupige kura.
  12. molephe

    Peter Msechu aibuka mshindi wa pili Tusker Project Fame

    Ukweli ni kwamba mwaka huu vipaji vya TPF ni very low. Mimi niliangalia kama mara mbili nadhani sitaangalia tena. Upendeleo sio kivile, talent hakuna kabisa. Mimi Leah nimemuona akiperform several times na B band kimsingi I was shocked kumuona TPF because she can not sing...
  13. molephe

    Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

    Pole sana. Mungu alitoa na Mungu ametwaa!!
  14. molephe

    Napigwa na kunyimwa unyumba.

    Hiyo sio ndoa ndugu yangu. Akupendaye hawezi kukupiga, kukusitishia mahusiano na rafiki zako, wala kukubaka!!!!!!!!!!!!! Hiyo ndoa ni void and null (Wanasheria nisaidieni hizo term kama ni sawa)
Back
Top Bottom